Mzee Ngonyani
JF-Expert Member
- Dec 16, 2022
- 1,049
- 2,242
Timu si inaongoza ligi.
Ipo super Cup.
Ipo championship
Halafu siku hizi si mnacheza direct football,iaminini timu yenu.
Ikiendeleza mtindo huo mpaka ikachukua kombe la super cup bado utaendelea kutokuwa na fulaha? Sisi tunataka ushindi kwa mtindo wowote wa uchezaji ndugu.Mimi nikiwa kama mpenzi na shabiki wa Simba sports club sifurahishwi na mwenendo wa timu pamoja na matokeo mazuri ya uwanjani. Timu haiko vizuri hatuna beki ukuta unavujisha na upande wa ushambuliaji ni butu.
Wapenzi wa mpira wa miguu karibuni nanyi mseme chochote maana mwenzenu nina wasiwasi hasa mashindano ya kimataifa.Tutatoboa kweli?