Tatizo la Simba ni lipi haswa?

Tatizo la Simba ni lipi haswa?

Girland

JF-Expert Member
Joined
Jan 24, 2016
Posts
2,489
Reaction score
4,253
Nani alaumiwe kwa yanayoendelea msimbazi?Tafadhali piga kura yako hapa

A. UONGOZI
B. MWEKEZAJI
C. WACHEZAJI
D. BENCHI LA UFUNDI


Tafadhali piga kura yako hapa
 
Kamà yule mzungu wenu pori alivyowaita wote huko hamna akili,isipokuwa wawili 2
Aliitoa hiyo kauli akiwa upande wa pili 😂😂😂Wahenga walisema usitukane Mamba kabla hujavuka mto.
 
Kwa hili la Mgunda na kukosekana kwa Cheti chake.....!.
Ndo utajua hakuna Professionalism kwa Viongozi wa Simba...!
Always hutumia ujanja ujanja tu.
 
Lakini pamoja na hayo yote....uchezaji wa Simba umebadilika sana,yaani wanacheza kivivu mno (yaani wako slow kuliko kawaida)
yaani mpira hauvutii.Backpass za kutosha
Reference ni game yetu against KMC, Simba hii game walicheza utafikiri wako MP😬😬
....badilikeni bhana,mnatuboa sisi mashabiki,chezeni mpira wa speed kali,vijana wapo wa kufanikisha hili
 
Back
Top Bottom