Girland
JF-Expert Member
- Jan 24, 2016
- 2,489
- 4,253
- Thread starter
- #21
Nani alaumiwe Benchi la ufundi ,uongozi au wachezajiLakini pamoja na hayo yote....uchezaji wa Simba umebadilika sana,yaani wanacheza kivivu mno (yaani wako slow kuliko kawaida)
yaani mpira hauvutii.Backpass za kutosha
Reference ni game yetu against KMC, Simba hii game walicheza utafikiri wako MP😬😬
....badilikeni bhana,mnatuboa sisi mashabiki,chezeni mpira wa speed kali,vijana wapo wa kufanikisha hili