Nani alaumiwe Benchi la ufundi ,uongozi au wachezajiLakini pamoja na hayo yote....uchezaji wa Simba umebadilika sana,yaani wanacheza kivivu mno (yaani wako slow kuliko kawaida)
yaani mpira hauvutii.Backpass za kutosha
Reference ni game yetu against KMC, Simba hii game walicheza utafikiri wako MP😬😬
....badilikeni bhana,mnatuboa sisi mashabiki,chezeni mpira wa speed kali,vijana wapo wa kufanikisha hili
Hapo nakuunga mkono kama wale waliokuwa wanataka Matola aondoke na kesho yake timu inasafiri kwenda Malawi,watu sampuli hii ni haki kuitwa mbumbumbu.E. MASHABIKI [emoji3581]
Wengi ni mbumbumbu, na hawaeleweki wanataka nini.
.Kwa hili la Mgunda na kukosekana kwa Cheti chake.....!.
Ndo utajua hakuna Professionalism kwa Viongozi wa Simba...!
Always hutumia ujanja ujanja tu.
Lawama zangu nazipeleka moja kwa moja kwa wachezaji,kwa sababu kama wanatimiziwa maslahi yao according to the contract they made wana kila sababu ya kucheza kwa kujituma sanaNani alaumiwe Benchi la ufundi ,uongozi au wachezaji