Tatizo la Simba SC ni kumkufuru Mwenyezi Mungu

Tatizo la Simba SC ni kumkufuru Mwenyezi Mungu

Yanga pamoja na kutukanagwa na haji hawajawahi kumtukana na kumkufuru Mungu kama Simba inayofanya Sasa.
Zile pesa za mchango wa matibabu india msukule alizorudishia baada ya kumsema sana mitandaoni sio kufuru?
 
Zile pesa za mchango wa matibabu india msukule alizorudishia baada ya kumsema sana mitandaoni sio kufuru?
Pesa ni Pesa na kufuru ni kufuru, ni vitu 2 tofauti. Kusema kwanini unanitukana wakati mm nilikusaidia matibabu yako ni kufuru? Wema unalipwa kwa wema sio matusi
 
Pesa ni Pesa na kufuru ni kufuru, ni vitu 2 tofauti. Kusema kwanini unanitukana wakati mm nilikusaidia matibabu yako ni kufuru? Wema unalipwa kwa wema sio matusi
Pole mbona msukule alirudisha hizo pesa kama sio kufuru
 
Mechi ya Simba vs Geita imedhihiridha kuwa tatizo la Simba sio kocha bali Wachezaji. Mpira dhidi ya Geita ni rahisi kusema ni afadhali ya Gomez.
 
Manara ana mambo ya kishamba! Yeye akichamba wenzie anaona yuko sahihi ila akigeuziwa kibao akachambwa au kujibiwa mashambulizi anajifanya kutia tia huruma!😂
Simba haitatengemaa hadi mumlipe Haji Manara pesa na heshima yake. Haji manara ameingiza watoto wengi sana, hata mtoto kaniponyoka enzi zake.
 
Simba haitatengemaa hadi mumlipe Haji Manara pesa na heshima yake. Haji manara ameingiza watoto wengi sana, hata mtoto kaniponyoka enzi zake.
kwema huko kichwani

CB4270A4-287D-4F18-B72A-EBD7B807ECA1.png
 
Sio kituo la kawaida kwa Simba iwe mbele kwa BAO 3-0 uwanja wa Mkapa halafu zote zirudishwe kwenye kipindi kimoja na timu ndogo kabisa kama Galaxy.

Sio kitu Cha kawaida watu wenye ulemavu wa ngozi Tanzania kuwa mtu maarufu kama Haji Manara. Huyu mtu kufika level aliyonayo kwenye nchi kama ya Tanzania sio jambo la mzahamzaha na hivihivi. Lazima Kuna nguvu ya mtu mwenye mamlaka kuu kuliko sisi wanadamu Yuko nyuma yake.

Simba na mashabiki wanavuka Mipaka ya mapungufu ya kibinadamu Haji na kuingilia mambo ambayo yako juu ya Haji, wanakejeli hata uwezo na mamlaka ya Mungu kuhusu maumbile ya Haji, wanakufuru. Wanashindwa hoja na Haji na ku attack ulemavu wake kama njia ya kumnyamazisha Haji.

Kwa kufanya hivyo Simba wanayashika Mungu masharubu yake. Watu wa aina ya Haji ni watu wanaohitaji upendo, kusaidiwa, Kutiwa moyo, na kuheshimiwa sana kwakuwa yeye hawezi kwenda kulima, kuvua, kuponda kokoto, kuchimba madini, nk sisi wengine.

Dua moja ya Haji kwa Mungu wake inasikika na Ina nguvu sana kwasababu anaomba kwa kumaanisha. Hakuna mtu hata mmoja chini ya jua atafanikiwa kwa kuwathihaki, wadhulumu, wabeza na kuwadhulu walemavu na mayatima na wajane.
Kwakuwa Yuko usukuleni , hiyo nguvu ya mtu mkubwa iliyonyuma yake ingeiwezesha utopolo kuvuka angalau hata hatua ya awali CAF CL. Lakini cha ajabu walimwagiwa ndani na nje na Rivres united.
 
Back
Top Bottom