Tatizo la Simba SC ni kumkufuru Mwenyezi Mungu

Yanga pamoja na kutukanagwa na haji hawajawahi kumtukana na kumkufuru Mungu kama Simba inayofanya Sasa.
Zile pesa za mchango wa matibabu india msukule alizorudishia baada ya kumsema sana mitandaoni sio kufuru?
 
Zile pesa za mchango wa matibabu india msukule alizorudishia baada ya kumsema sana mitandaoni sio kufuru?
Pesa ni Pesa na kufuru ni kufuru, ni vitu 2 tofauti. Kusema kwanini unanitukana wakati mm nilikusaidia matibabu yako ni kufuru? Wema unalipwa kwa wema sio matusi
 
Pesa ni Pesa na kufuru ni kufuru, ni vitu 2 tofauti. Kusema kwanini unanitukana wakati mm nilikusaidia matibabu yako ni kufuru? Wema unalipwa kwa wema sio matusi
Pole mbona msukule alirudisha hizo pesa kama sio kufuru
 
Mechi ya Simba vs Geita imedhihiridha kuwa tatizo la Simba sio kocha bali Wachezaji. Mpira dhidi ya Geita ni rahisi kusema ni afadhali ya Gomez.
 
Manara ana mambo ya kishamba! Yeye akichamba wenzie anaona yuko sahihi ila akigeuziwa kibao akachambwa au kujibiwa mashambulizi anajifanya kutia tia huruma!😂
Simba haitatengemaa hadi mumlipe Haji Manara pesa na heshima yake. Haji manara ameingiza watoto wengi sana, hata mtoto kaniponyoka enzi zake.
 
Simba haitatengemaa hadi mumlipe Haji Manara pesa na heshima yake. Haji manara ameingiza watoto wengi sana, hata mtoto kaniponyoka enzi zake.
kwema huko kichwani

Kwakuwa Yuko usukuleni , hiyo nguvu ya mtu mkubwa iliyonyuma yake ingeiwezesha utopolo kuvuka angalau hata hatua ya awali CAF CL. Lakini cha ajabu walimwagiwa ndani na nje na Rivres united.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…