KAGAMEE
JF-Expert Member
- Dec 20, 2013
- 4,457
- 5,454
Ndugu zangu makolo hongereni kwa kumaliza msimu huu na makombe kedekede.Timu yenu mmeiharibu wenyewe kwa kuwapa wachezaji wenu sifa zisizofaa na hiyo imepelekea wachezaji wenu kuwa na OVER CONFIDENCE.
Kipa wenu hamna kila kitu ila mnavyompaisha sasa. Chama wenu hamna kila kitu mnavyompa misifa sasa utadhan anaweza kucheza EPL.
Mzee wenu SAIDO hakuna kila kitu mbele ya vijana wenye nguvu na speed ila mnayompaisha
MSIMU WA JASHO NA DAMU NDO HUO UNAISHA ISHA KILA MTU AANZE APIGE HESABU KWENYE KABATI LAKE KUONA AMEVUNA NINI.
Makolo Mulagowe uwu mwaka
Tumalize kwa wimbo wangu pendwa.
Maakoolo yanaruka na kukanyagana, yanaruka kinyama×2