-Low sperm count, kitaalamu Oligospermia (chini ya ya spermatozoa 15 millioni kwa 1 ml ya shahawa.
-Muhusika inabidi asigegede au kupiga nyeto kwa siku tatu kabla ya kipimo.
-Kipimo kinabidi kifanyike si zaidi ya masaa mawili baada ya sampuli kupatikana.
-Majibu hapo chini ndio yataripotiwa kama ni normal.
-Volume (ujazo)- 1.5 ml au zaidi.
-pH 7.2 au zaidi.
-Sperm concentration, zaidi ya mbegu milioni 15 kwa 1 ml.
-Sperm number: Zaidi ya mbegu milioni 39 kwa goli moja (per ejaculate).
-Total motility (mbegu zenye mwendo), 40% zina mwendo (motile) au 32% zina mwendo endelevu (progressive motility).
-Vitality(zipo poa/zina uhai na zinachacharika)= 58%.
-Namba ya mbegu ambazo zipo hai na zina maumbile safi kwa shughuli husika > 4%.
Kwa hiyo unaona kuna mambo mengi kwenye sperm analysis, mwenye 14 millioni si sawa na mwenye 1 millioni, halafu angalia hapo juu na vipimo vingine ambavy inabidi navyo pia viwe poa. Mtu anaweza kuwa na 15 milioni, lakini kila goli anapiga 20 millioni tu, na pH ya sperm in 6.4.
Kama una mtu ana matatizo, basi nakushauri kamuone daktari. Kwani kila mgonjwa ni tofauti, halafu kumbuka "It takes two to tango".