Tatizo la sperm count kwa wanaume

Tatizo la sperm count kwa wanaume

malkiamrembo

JF-Expert Member
Joined
Mar 29, 2015
Posts
386
Reaction score
231
Habari za jioni ndugu,

Naomba nilete uzi huu kwa lengo la kuwasaidia waume na wakaka kwenye tatizo la sperm count. Naomba watalaam mjitokeze mtuoe elimu na solution yaani matibabu yake hususani ni dawa gani zinaweza kutatua hili tatizo.
 
Kula vyakula vya asili zaidi, achana na burger na pizza za mlimani city, bao moja tu unapiga mapacha!
 
-Low sperm count, kitaalamu Oligospermia (chini ya ya spermatozoa 15 millioni kwa 1 ml ya shahawa.
-Muhusika inabidi asigegede au kupiga nyeto kwa siku tatu kabla ya kipimo.
-Kipimo kinabidi kifanyike si zaidi ya masaa mawili baada ya sampuli kupatikana.
-Majibu hapo chini ndio yataripotiwa kama ni normal.
-Volume (ujazo)- 1.5 ml au zaidi.
-pH 7.2 au zaidi.
-Sperm concentration, zaidi ya mbegu milioni 15 kwa 1 ml.
-Sperm number: Zaidi ya mbegu milioni 39 kwa goli moja (per ejaculate).
-Total motility (mbegu zenye mwendo), 40% zina mwendo (motile) au 32% zina mwendo endelevu (progressive motility).
-Vitality(zipo poa/zina uhai na zinachacharika)= 58%.
-Namba ya mbegu ambazo zipo hai na zina maumbile safi kwa shughuli husika > 4%.

Kwa hiyo unaona kuna mambo mengi kwenye sperm analysis, mwenye 14 millioni si sawa na mwenye 1 millioni, halafu angalia hapo juu na vipimo vingine ambavy inabidi navyo pia viwe poa. Mtu anaweza kuwa na 15 milioni, lakini kila goli anapiga 20 millioni tu, na pH ya sperm in 6.4.

Kama una mtu ana matatizo, basi nakushauri kamuone daktari. Kwani kila mgonjwa ni tofauti, halafu kumbuka "It takes two to tango".
 
Daaaah hii kitu ni hatari.
4d63a4a0bb25dee4ba089f51b729a8ca.jpg
UNGA UNGA WA UDISHE
[emoji256]Huongeza hamu ya tendo la ndoa kwa mwanaume na mwanamke
[emoji256]Huipa nguvu dhakari
[emoji256]Hurudisha nguvu ya awali kwa walio athirika na PUNYETO

[emoji298]Chukua kijiko kimoja cha UDISHE kwa maji nusu lita Chemsha na Tia asali vijiko viwili ..kunywa kutwa Mara mbili

Kwa ushaur na tiba wasiliana nasi
sangidaherbal.blogspot.com

+255 655 821 550
Sulayman Sangida
8116fecd95958675f2000085404f2e2b.jpg
 
Habari za jioni ndugu,

Naomba nilete uzi huu kwa lengo la kuwasaidia waume na wakaka kwenye tatizo la low sperm count. Naomba watalaam mjitokeze mtuoe elimu na solution yaani matibabu yake hususani ni dawa gani zinaweza kutatua hili tatizo.
Mkuu dada yangu tatizo la low sperm count kwa wanaume linatokan ulaji mbaya wa sisi wanaume siku hizi tunapendakula vyakula vya makopo aka (Food acids) na vyakula vingi tunavyokula sio Organic Foods ni vyakula feki aka (artificial foods) hatuli vyakula vya asili na vyenye kutia joto mwilini na kuongeza shahawa kwa wingi aka Sperm Count aka (Alkaline Foods) ndio maana siku hizi wanaume wengi wamekuwa wana maradhi ya Upungufu wa utengenezaji wa mbegu za uzazi shahawa aka (Tatizo la low Sperm Count).Wanaume wengi matokeo yake watakuwa ni watasa ka wanaume wasioweza kuzalisha wanawake aka kuwatia mimba ili wapate kuzaa. Na Sababu ingine ni Uvutaji wa Sigara na Ulevi pia Vinachangia kuwa na mtu upungufu wa Tatizo la low Sperm Count. Na unene mtu kuwa mnene pia kunachangia upungufu wa tatizo la low Sperm Count Upungufu wa uzalishaji mdogo wa shahawa. Ufumbuzi wa hili tatizo mimi ninaijuwa dawa yake Kwa mtu mwenye hili Tatizo la kuzalisha kwa wingi sHahawa aka (Tatizo la low Sperm Count) Nitafute kwa wakati wako nipate kukutibia upate kupona na kuweza kumshikisha mwanamke uja uzito. Unaweza kunitafuta kwa Mawasiliano Herbalist Dr. MziziMkavu Email barua ya pepe.fewgoodman@hotmail.com What's App +905344508169 Au Ni add Kwa Facebook tumia jina hili mzizimkavu. Au boonyeza hapa.Mzizi Mkavu

UGUMBA KWA WANAUME.jpg

Unene.jpg

UVUTAJI WA SIGARA UNASABABISHA UPATWE NA LOW SPERM.jpg
 
Wanazichukuaje ili wakafanye vipimo? Unatetemeshwa na kifaa zinatoka au unavaa kitu kama kinga au unapiga kazi kisha unatoa nje kwenye chombo?
 
Lazima kitoke kitone na majibu ya uongo, kupekechwa tena?
Ee unajipekecha usipo weza unapekechwa na kuzimwagia kwenye kifaa kama kile unachopewa kwenda kuweka stool/mkojo.
 
-Low sperm count, kitaalamu Oligospermia (chini ya ya spermatozoa 15 millioni kwa 1 ml ya shahawa.
-Muhusika inabidi asigegede au kupiga nyeto kwa siku tatu kabla ya kipimo.
-Kipimo kinabidi kifanyike si zaidi ya masaa mawili baada ya sampuli kupatikana.
-Majibu hapo chini ndio yataripotiwa kama ni normal.
-Volume (ujazo)- 1.5 ml au zaidi.
-pH 7.2 au zaidi.
-Sperm concentration, zaidi ya mbegu milioni 15 kwa 1 ml.
-Sperm number: Zaidi ya mbegu milioni 39 kwa goli moja (per ejaculate).
-Total motility (mbegu zenye mwendo), 40% zina mwendo (motile) au 32% zina mwendo endelevu (progressive motility).
-Vitality(zipo poa/zina uhai na zinachacharika)= 58%.
-Namba ya mbegu ambazo zipo hai na zina maumbile safi kwa shughuli husika > 4%.

Kwa hiyo unaona kuna mambo mengi kwenye sperm analysis, mwenye 14 millioni si sawa na mwenye 1 millioni, halafu angalia hapo juu na vipimo vingine ambavy inabidi navyo pia viwe poa. Mtu anaweza kuwa na 15 milioni, lakini kila goli anapiga 20 millioni tu, na pH ya sperm in 6.4.

Kama una mtu ana matatizo, basi nakushauri kamuone daktari. Kwani kila mgonjwa ni tofauti, halafu kumbuka "It takes two to tango".
thanks mkuu
 
Umeeleza vizuri sana mkuu [emoji122]
 
Back
Top Bottom