Kwanza samahani...ni steering sio stealing...ni lock sio rock....ukizima gari ukizungusha funguo hadi position ya kuitoa steering wheel itaji lock. Kutoa lock ingiza funguo wakati unataka kuwasha zungusha steering wheel at the same time it will unlock.Habari wadau!
Jamani naomba wazoefu Wa tatizo la gari automatic kujirock stearing ghafla. Je chanzo huwa ni nini? Na bahati mbaya ikishajirock mbele haiendi, gia haisogei, yaani inakakamaa kitu ambacho kama mtu unaendesha lazima uingie mtaroni. Naomba mwenye kujua tiba na chanzo chake tafadhari.
Mara nyingi ukiwa parking! Ila nasikia kuna ajari zngne kwenye mwendo chanzo huwa ni hkHiyo steering inaji lock wakati gari inatembea au vipi ?
Yes, kiongozi hii kitu mimi nilishawahi kuita fundi kabisa sema alikuwa muungwana sana akanipa tuu maelekezo yako mdau...ahsante sanaKwanza samahani...ni steering sio stealing...ni lock sio rock....ukizima gari ukizungusha funguo hadi position ya kuitoa steering wheel itaji lock. Kutoa lock ingiza funguo wakati unataka kuwasha zungusha steering wheel at the same time it will unlock.
Haiwezi ku lock kwenye mwendo. Gari ikiwa ON funguo inakuwa kwenye ON position. Gari za kijapan kuna Lock,Acc,On then Start. Ukiwasha gari funguo inarudi kwenye ON.Mara nyingi ukiwa parking! Ila nasikia kuna ajari zngne kwenye mwendo chanzo huwa ni hk
Mpk hapo huonyeshi dalili za kumiliki garikutu kutu kwenye starter. Mimi kwenye gari yangu mojawapo ilikuwa inatokea sana, ila baada ya kuweka vilainishi (kupitia fundi wangu) mpaka leo haisumbui tena.
Hahah jamaa ni full muongo, eti kutukutuHahahahaaaaa kutukutu jf, rasa saana, walaahi
umeniwahi mkuu,huyo ni mwongo kabisa...kutu?Mpk hapo huonyeshi dalili za kumiliki gari
Hahah Mkuu jamaa ni muongo balaaumeniwahi mkuu,huyo ni mwongo kabisa...kutu?