Tatizo la steering lock kwenye gari Automatic, chanzo chake ni nini?

Tatizo la steering lock kwenye gari Automatic, chanzo chake ni nini?

dmkali

JF-Expert Member
Joined
Nov 17, 2014
Posts
11,793
Reaction score
22,552
Habari wadau!
Jamani naomba wazoefu wa tatizo la gari automatic kujilock steering ghafla mniambia chanzo huwa ni nini? Na bahati mbaya ikishajilock mbele haiendi, gia haisogei, yaani inakakamaa kitu ambacho kama mtu unaendesha lazima uingie mtaroni.

Naomba mwenye kujua chanzo na suluhisho lake tafadhali.
 
Ilo tatizo Dogo,uwa linatokea,linasababishwa unapozima gari uwa unajisahau na kuzungusha stealing,hivyo ikijilock unapowasha gari washa uku unazungusha stealing kwa wakat huo huo utaona mambo yanakuwa sawa na linawaka na kuendelea na safari yako.
 
Habari wadau!
Jamani naomba wazoefu Wa tatizo la gari automatic kujirock stearing ghafla. Je chanzo huwa ni nini? Na bahati mbaya ikishajirock mbele haiendi, gia haisogei, yaani inakakamaa kitu ambacho kama mtu unaendesha lazima uingie mtaroni. Naomba mwenye kujua tiba na chanzo chake tafadhari.
Kwanza samahani...ni steering sio stealing...ni lock sio rock....ukizima gari ukizungusha funguo hadi position ya kuitoa steering wheel itaji lock. Kutoa lock ingiza funguo wakati unataka kuwasha zungusha steering wheel at the same time it will unlock.
 
Yes, kiongozi hii kitu mimi nilishawahi kuita fundi kabisa sema alikuwa muungwana sana akanipa tuu maelekezo yako mdau...ahsante sana
 
kutu kutu kwenye starter. Mimi kwenye gari yangu mojawapo ilikuwa inatokea sana, ila baada ya kuweka vilainishi (kupitia fundi wangu) mpaka leo haisumbui tena.
 
Nilipoona neno "STEALING ROCK nikajiongeza mwenyewe ingawa nilijiuliza ni nini?
Ni tatizo kubwa unaweza kupata ajali kubwa sana ipeleke kwa fundi haraka sana
 
Mara nyingi ukiwa parking! Ila nasikia kuna ajari zngne kwenye mwendo chanzo huwa ni hk
Haiwezi ku lock kwenye mwendo. Gari ikiwa ON funguo inakuwa kwenye ON position. Gari za kijapan kuna Lock,Acc,On then Start. Ukiwasha gari funguo inarudi kwenye ON.

Funguo haitoki kwenye ON position hivyo kwenye mwendo gari haiwrzi ku lock. Vinginevyo ignition switch mbovu ndio funguo itadondoka gari ikiwa ON.
 
kutu kutu kwenye starter. Mimi kwenye gari yangu mojawapo ilikuwa inatokea sana, ila baada ya kuweka vilainishi (kupitia fundi wangu) mpaka leo haisumbui tena.
Mpk hapo huonyeshi dalili za kumiliki gari
 
Back
Top Bottom