Habari wadau!
Jamani naomba wazoefu wa tatizo la gari automatic kujilock steering ghafla mniambia chanzo huwa ni nini? Na bahati mbaya ikishajilock mbele haiendi, gia haisogei, yaani inakakamaa kitu ambacho kama mtu unaendesha lazima uingie mtaroni.
Naomba mwenye kujua chanzo na suluhisho lake tafadhali.