Tatizo la Tanzania kila kitu ni siasa. Hatuna useroius kwenye kutengeneza na kusimamia mipango madhubuti

Watu wanafanya sherehe teuzi!maana yake ulaji huo!
 
UPO SAHIHI kuna siku MAKADA wa CCM wataenda MUHIMBILI KUKAGUA UPASUAJI kama unaenda sawa na ILANI yao
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…