Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
-
- #21
Hasira zake sasa anaeneza dunia nzima, tumhurumie tu.Yye anaelezea maswaibu yaliyomkuta,Kazi ya kupongeza ni TBC inafanya Kazi nzuri tu
Sent using Jamii Forums mobile app
Nipe link nimpongeze kwa kupongeza!Mbona amepongeza ujenz wa uwanja wa ndege chatto
Jamaa ni mfano wa wasomi wa kibongo wanavyolewa elimu za vyuoni. Ni mropokaji wa asili.Siungi mono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, akini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.
Amejitngenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.
Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.
Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?
Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Ukiwa na mawazo hayo hata umeme wa Stiegler ukija wewe ususe tu, sie poa!Huna hoja unaendeshwa na ukabila
Kwa mtaji huo hafai kuongoza mtu yoyote, yeye aendelee tu kukosoa!si lazima kumpongeza mtu kwa kutimiza wajibu wake, ila ni vizuri kumkosoa mtu kwa kutotimiza wajibu wake.
Maadamu avunji Sheria, shida kama ni ya uongoHasira zake sasa anaeneza dunia nzima, tumhurumie tu.
Inawezekana, uko sahihi, ila wazungu wakimshika mkono , sidhani kama atapotea njia! Mbona nasikia wameshamuandaa kuwa katibu mkuu wa UN😛😛😛😛😀😀😀😀😳😳😳😳Hujakosea sana, ila na yeye Tundu Lissu hajui kule nakoelekea!
Tundu Lissu najua aliumia sana kupona mauaji.Inawezekana, uko sahihi, ila wazungu wakimshika mkono , sidhani kama atapotea njia! Mbona nasikia wameshamuandaa kuwa katibu mkuu wa UN😛😛😛😛😀😀😀😀😳😳😳😳
Afadhali lisu si mnafiki alimsema mwalimu hadharani, kuliko wale waliomsaliti mpaka kupelekea kumuua ili wauze rasililmali zetu.Tundu Lissu najua aliumia sana kupona mauaji.
Lakini mtaji wa mwanasiasa ni watu wajue yeye anataka kuwapeleka wapi, na si jinsi anavyojua kuwatukana viongozi waliopo.
Katika mambo yaliyonisikitisha juu ya Lissu ni pale alianza hata kumtukana Mwalimu Nyerere.
Hapo nikajua mdomo utakiponza kichwa.
Dawa ya watu kama Lisu ni kujibiwa kwa hoja tu na wala siyo nguvu . Lisu ni mtu anayetegema hoja hivyo dawa yake ni hoja tu.Siungi mono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.
Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.
Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.
Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?
Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Usibadili muelekeo wa mada , Lissu alimtukana Mwalimu.B
Afadhali lisu si mnafiki alimsema mwalimu hadharani, kuliko wale waliomsaliti mpaka kupelekea kumuua ili wauze rasililmali zetu.
Jamani, angalia wakwetu walio na madaraka makubwa.....Mtu mwenye akili finyu na aliyefilisika anatazama mambo kwa macho ya kikabila.
Tusilete uKenya Tanzania ati we mLuo na mimi mKikuyu.
Kwaheri, nadhani elimu yako ni ndogo! Was Nyerere an angel? Nyerere alikuwa mwanadamu, vulnerablee to mistakes!Tundu Lissu najua aliumia sana kupona mauaji.
Lakini mtaji wa mwanasiasa ni watu wajue yeye anataka kuwapeleka wapi, na si jinsi anavyojua kuwatukana viongozi waliopo.
Katika mambo yaliyonisikitisha juu ya Lissu ni pale alianza hata kumtukana Mwalimu Nyerere.
Hapo nikajua mdomo utakiponza kichwa.
Katika nchi hii, Mwalimu is revered, ana heshima isiyo ya kawaida, si nchini tu bali Afrika na dunia kwa ujumla.Kwaheri, nadhani elimu yako ni ndogo! Was Nyerere an angel? Nyerere alikuwa mwanadamu, vulnerablee to mistakes!
Hayo unayaona wewe ambaye hujui zaidi ya lile unaloambiwa na CCM. Usinichoshe kwaheri. Usijibu, potezeaKatika nchi hii, Mwalimu is revered, ana heshima isiyo ya kawaida, si nchini tu bali Afrika na dunia kwa ujumla.
Heshima ya Mwalimu ndo heshima ya Tanzania.
Mtukane bila sababu za msingi, tena kwa uzembe uzembe, mkuu futi sita zitakuhusu