Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 18,653
- 31,010
- Thread starter
-
- #101
Lets agree to disagree on inerpretations of facts.A tainted mind is within you...
Wake up!!
The history is a good fact teller...
Read my evy again, and again, and again... you will see what I mean...
Fafanua sasa mbona na wewe umemponda mwenzako lakini hujatupa maana?Nina uhakika Pyepyepye, hujui maana ya neno "roadmap" Na lilivyotumiwa na mleta hiyo mada! Ungeanza na kuuliza nini maana yake kabla hujaandika 'Tupatie roadmap yako'!
Atakuwa na laana ya mwalimu.Usibadili muelekeo wa mada , Lissu alimtukana Mwalimu.
Grave mistake.
Lets agree to disagree on inerpretations of facts.
But the facts remain thus:
1) So far gas driven power costing 2.2trillion has produced 390MW (not 490MW), from Kinyerezi I-150MW and Kinyerezi II-240 MW
2)Hydro power from Stieglers Gorge is to cost over 7trillion producing 2,100MW
Now you can interpret as you please.
Ndege, SGR, S. Gorge, (kipato, maji safi na salama, barabara za vijijini, elimu bora NK)Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.
Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.
Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.
Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?
Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Trust is relative.What makes you think I can trust CHADEMA, or its cohorts and henchmen?Yeah, you are right...
What we urge you is, don't shot us with guns with our interpretations!!
I don't agree with you, I don't trust CCM and their leaders especially "petty dictator" Pombe, their policies and programmes and followers like you...
Trust is relative.What makes you think I can trust CHADEMA, or its cohorts and henchmen?
Kwani Nyerere mungu???Tundu Lissu najua aliumia sana kupona mauaji.
Lakini mtaji wa mwanasiasa ni watu wajue yeye anataka kuwapeleka wapi, na si jinsi anavyojua kuwatukana viongozi waliopo.
Katika mambo yaliyonisikitisha juu ya Lissu ni pale alianza hata kumtukana Mwalimu Nyerere.
Hapo nikajua mdomo utakiponza kichwa.
Hapana, nini kinakufanya ufikiri hivyo?Kwani Nyerere mungu???
Roadmap au kodimapu twende kwenye uchaguzi wananchi waamueSiungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.
Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.
Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.
Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?
Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
I said it.Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.
Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.
Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.
Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?
Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Utamwelewa Lissu na magu polepole tu nani ni nani.Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.
Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.
Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.
Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?
Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
Chadema manifesto is all you need.Siungi mkono kutandikwa risasi huyu Mbunge wa huko Singida, lakini tatizo lake kubwa ni kukosoa bila kuwa na mbadala ya kile anachokikosoa.
Amejitengenezea maadui kwa kuwatukana, kuwadhalilisha na hata kuwadharau wengine.
Kisiasa watu kama Lissu huitwa reactionaries, watu wanaotegemea wengine waelekeze tunakotakiwa kwenda kiuongozi, na wao wajipatie sifa ya ya kisiasa kwa kukosoa tu na kuponda mafanikio.
Tunaona JPM anasonga mbele kwa staili ambayo si kawaida kwa watanzania, ingalau matokeo chanya tunayaona.
Ndege zimekuja, SGR iko katika ujenzi, mradi wa Umeme wa Stieglers Gorge ndo unaanza kutekelezwa, sasa jiulizeni Lissu angekuwa na mbadala upi?
Tatizo kubwa la Tundu Lissu, hana Road map ya kuaminika.
Sijawahi kmsikia akipongeza mafanikio yoyote.
https://www.jamiiforums.com/attachments/1581526/Hakuna mtu anawaelewa wala kuwakubalia mnaposema upuuzi huu kwa ajili tu ya kutetea matumbo yenu, mlaaniwe.
I said it.
Tundu Lissu bado hajaeleza the broader Road Map kutupeleka nchi ya maziwa na asali.
Yeye mwenyewe hana roadmap kazi yake kusifia tu, hana hata moja la kukosoa. Bora hyo mwenzake anayemwambia anakosoa kuliko yeye anasifuTupatie roadmap yako
[emoji2398]