Tatizo la Ucheleweshwaji wa Mikopo Benki ya CRDB


Hongera sana mkuu ila hapo kwenda Bar kujipongeza[emoji23][emoji23][emoji23][emoji482]
 
Kwa kweli hawa jamaa wamenikosesha kabisa malengo yangu. Kwa kweli nitatafuta usaidizi wa kisheria kabisa kwa walichoandika ndani ya 24 lakinni hakuna kitu. Hii ni wiki ya 2 tangu niombe lakini sioni chochote,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…