Tatizo la udomo zege

chamaclotus

JF-Expert Member
Joined
Apr 19, 2019
Posts
1,079
Reaction score
2,273
Wakuu salaam,

Kama mada inavyoelezea nimekuwa napatwa na tatizo la kuogopa kutongoza mabinti na kama mnavyojua hapa Dar kuna madem wakali sana ila ukikutana nao road wako faster ni ngumu kumsimamisha manzi. Hii hali sijui inatokana na nini naanza kuhisi nitakuwa na matatizo somewhere.

Naombeni mbinu wakuu.
 
Tafuta pesa, ni jawabu la kila jambo, na ukiwa na pesa automatic unakuwa na confidence kupita kiasi.. hata kama uwe na 30 mill kwenye account na kwenye mpesa uwe na 7 mill .. hapo udomo zege utaishia sikia kwenye bombaa πŸ˜€πŸ˜€ na kwa wengine
 
kweli kiongozi
 
Ninachoamini ni kwamba,hakuna mwanamke yeyote utamsimamisha kwa adabu na heshima barabarani akashindwa kusimama(yawezekana mazungumzo yakawa ni utupolo mtupu)

Cha kufanya jirecord(video)mwenyewe hapo nyumbani kwako namna ya kumtongoza mwanamke then uanze kuipitia hiyo video wewe mwenyewe na kuitolea kasoro.

Fanya mara nyingi uwezavyo kujijengea kujiamin.jitahidi kupangilia maneno yako mkuu saw...πŸ˜…πŸ˜…

Hafu we nae......tafuta maneno konki ya kukusaidia kuomba namba ya simu ya mwanamke.....ukipata namba ya simu umeula πŸ˜…πŸ˜…..ukifikia hapo na ukiona bado mdomo wako ni mzito kama zege la alfajiriπŸ˜†πŸ˜†my dear itabidi ushauri utakaofuata nikutoze fweza πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…
 

Kuna wanawake wana jeuri mno, mleta mada nakushauri uanze mazoezi kwa huyu mwenye lips zake nzuri
 
kweli kamanda
 
Dah sawa maana puri inaweza fanya nidead
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…