chamaclotus
JF-Expert Member
- Apr 19, 2019
- 1,079
- 2,273
Wakuu salaam,
Kama mada inavyoelezea nimekuwa napatwa na tatizo la kuogopa kutongoza mabinti na kama mnavyojua hapa Dar kuna madem wakali sana ila ukikutana nao road wako faster ni ngumu kumsimamisha manzi. Hii hali sijui inatokana na nini naanza kuhisi nitakuwa na matatizo somewhere.
Naombeni mbinu wakuu.