Tatizo la udomo zege

Kuna wanawake wana jeuri mno, mleta mada nakushauri uanze mazoezi kwa huyu mwenye lips zake nzuri
πŸ˜…πŸ˜…najua mbinu za kutongozwa mkuu,hapa napigwa Changa la macho Ila navunga tuπŸ˜…πŸ˜…...sasa sidhani kama ataweza niimbisha songi tukaelewanaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…sipendi mwanaume asiyejiamini.jiamini hata kama huna hela bhana waaaaiiii
 

Kwahiyo unataka kusema anatangaza nia kwako? [emoji16][emoji16] we vunga tu si mpo kwa ajili yetu, kujiamini ni muhimu ukishakuwa kidume, hata upite speed ya mwendokasi kama nna nia ya kukusimamisha ntakusimamisha tu ukigoma nakusindikiza kidogo ukitoa namba ndio kazi inaanza taratibu bila kukurupuka
 
Hapana sihitaji kutangaziwa nia huku mkuu..kwa hilo asante.

Eee bhana mwanaume Uji amini..sasa unafikiri mwanaume asipojiamini ni taifa gani atalijengaπŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…..
 
kuna ex wangu alinimwaga so breakup ilikuwa harsh sana so nikawa affected na kunipunguzia kujiamini
Acha mambo ya ajabu jombaa...yani upigwe chini upoteze kujiamin??πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…never..

Au labda Kosa lililofanya ukapigwa chini ndo huku huku kutokujiamni na ndo mana mpka sasa bado hujiamini..

Na usipojifunza kujiamin I mbele ya mwanamke basi andika maumivu maana utaendelea kupigwa chini sana tu
 
doh
 
πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sema naomba kujifunza uzinzi!
 
Mkuu tafuta gari Kali miliki,,,uwe na pesa,,,tatizo lako halitakuwapo tena.
Maneno Matamu watakuja nayo wenyewe warembo..
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†
Ila ka vipi mpe shavu mwanetu akache mbanga za kupanda mnazi kwa mkono mmoja!🀣🀣🀣 We umsaidie jambo lake maana ushamuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…