Tanteeeeeh [emoji3526][emoji3526]Vyema.. love you very much..[emoji6][emoji12]
Mkuu chukua flash ya 2gb yeye mafile ya kusaundisha watoto wakaree kisha uimeze,baada ya nusu saa unakua konki wa kutongozaWakuu salaam,
Kama mada inavyoelezea nimekuwa napatwa na tatizo la kuogopa kutongoza mabinti na kama mnavyojua hapa Dar kuna madem wakali sana ila ukikutana nao road wako faster ni ngumu kumsimamisha manzi. Hii hali sijui inatokana na nini naanza kuhisi nitakuwa na matatizo somewhere.
Naombeni mbinu wakuu.
Nyie ndo mnafaa kurogwa sasa..😂Wanawake hatutongozwi kwa maneno tunatongozwa kwa pesa, upo hapo?
HahahaWakuu salaam,