Tatizo la udomo zege

Tatizo la udomo zege

Wanawake hatutongozwi kwa maneno tunatongozwa kwa pesa, upo hapo?
 
Wakuu salaam,

Kama mada inavyoelezea nimekuwa napatwa na tatizo la kuogopa kutongoza mabinti na kama mnavyojua hapa Dar kuna madem wakali sana ila ukikutana nao road wako faster ni ngumu kumsimamisha manzi. Hii hali sijui inatokana na nini naanza kuhisi nitakuwa na matatizo somewhere.

Naombeni mbinu wakuu.
Mkuu chukua flash ya 2gb yeye mafile ya kusaundisha watoto wakaree kisha uimeze,baada ya nusu saa unakua konki wa kutongoza
 
Wakuu salaam,

Kama mada inavyoelezea nimekuwa napatwa na tatizo la kuogopa kutongoza mabinti na kama mnavyojua hapa Dar kuna madem wakali sana ila ukikutana nao road wako faster ni ngumu kumsimamisha manzi. Hii hali sijui inatokana na nini naanza kuhisi nitakuwa na matatizo somewhere.

Naombeni mbinu wakuu.
Hahaha
 
Back
Top Bottom