Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

Mada iko mezani kitendo cha kukatika kwa Utereze wakati game linaendelea Kwa mwanamke nini chanzo
 
Ni hatari asee
 
Majibu yote yanaweza kuwa sawa, ila kuu linahusisha ulaji mbovu ambapo hupelekea upungufu wa madini mbalimbali yakiwemo madini ya zink. Vipo vyakula vinavyoweza kukupa madini hayo ikiwemo viazi vikuu, mtama, uwele, n.k Pia kupunguza ulaji wa vyakula vyenye sukari na asidi nyingi. Napia ufanyaji wa mazoezi husaidia kupunguza mafuta na taka mwili, kufanya water 💧 fasting itasaidia kuujenga mwili kwa ujumla.
Solution: Tumia vilainishi mf. Mafuta ya nazi wakati wa tendo. Maandalizi kabla ya tendo. Pata tiba lishe sahihi, ukihitaji tiba waweza ni PM. Asante
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…