Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

Afanyiwe maandalizi ya kutosha kabla ya tendo. Pia awe anapakaa mafuta ya ubuyu huko kwenye nanihii
Mafuta ya ubuyu si mazuri kwa afya ya binadamu as advertised, na kama maandalizi yapo na hakuna mwenye strec na kitu, wat else?
 
Mafuta ya ubuyu si mazuri kwa afya ya binadamu as advertised,,na kama maandalizi yapo na hakuna mwenye strec na kitu,wat else?

Yes hata mimi nimesikia yanasababisha cancer ya uzazi.
 
Mrudie mpenzi wako wa awali, maanake inaonesha kabisa umehamia kambi mpya, aidha mfundishe awe anakwandaa kama wa zamani.
 
Dawa yake ni kufanya maandalizi ya kutosha wakati wa ndoa. Dakika 45 mpka lisaa limoja
 
Kama ana tabia ya kuunga K aache. Na aweke mawazo yake kwenye tendo.
 
It is a sign of menopouse age 45-50 watch that.
 
Habari wanajamvi,

Naomba msaada wa kitabibu juu ya girlfriend wangu ambaye huwa ni mkavu sana sehemu za siri wakati wa kujamiana.

Huwa natumia muda mwingi kumwandaa kabla ya tendo hilo na pindi tunapoanza kujamiana huwa ni mkavu sana ingawa yeye huwa anafurahia na huwa hahisi maumivu.

Ninachotaka kujua ni kwamba hali hiyo ya ukavu sehemu za ndani ya uke ni tatizo la kiafya au ni kawaida na kama ndivyo nini kifanyike ili awe na hali ya kawaida.

Naomba msaada.
 
KY Jelly inaweza kuwa msaada kwenye maduka ya dawa Makubwa unapata hiyo bidhaa.
 
Hakuna mwanamke aliyemkavu sehemu hizo. Labda awe ana hisia tofauti na hali halis au hakupendi kabisa. Vinginevyo maumbile yako pia yamekaa vibaya yanamtisha mwenzio.
 
Ahsante kwa ushauri lakin hali hiyo ni kawaida kwa baadhi ya wanawake au ni tatizo la kiafya,msaada tafadhali kama unafahamu.
 
Ahsante kwa ushauri lakin hali hiyo ni kawaida kwa baadhi ya wanawake au ni tatizo la kiafya,msaada tafadhali kama unafahamu
Hana hisia na wewe kabisa huyo. Kuna mkunandiko anamuwaza. Au Labda hujui kufanya.
 
Au hakupendi? Msije tia pipa zima la jelly mambo yakawa yaleyale?
 
Ahsante kwa ushauri lakin hali hiyo ni kawaida kwa baadhi ya wanawake au ni tatizo la kiafya,msaada tafadhali kama unafahamu

Si hali ya kawaida wala si tatizo la kiafya bali ni tatizo la kimapenzi hana hisia na wewe kabisa.
 
Naamini wataalam watakuja kukupa ufafanuzi na wengine wataafaidika ila nadhani ni tatizo la afya it might be ktk ovals kuna shida kidogo.
 
Siyo jambo geni sana hili. Wapo ambao siyo wakavu wakati wengine ni wakavu. Lakini ziko sababu ambazo zinaweza kumfanya awe mkavu au asiwe mkavu.

Sexual stimulation ya kutosha kupitia foreplay inasaidia kwa kiasi kikubwa kuondoa ukavu. Aina ya vidonge vya uzazi anavyotumia vinaweza kuchangia kuongezeka kwa ukavu.

Zipo pia sababu nyingine kama mabadiliko kwenye hormones za kike, premature menopause, kuwa katika dozi ya dawa fulani, allergy na aina za kemikali zilizopo kwenye vitu kama sabuni, perfume, n.k na mwanamke kujikita zaidi kwenye kulea mtoto.

Pia sababu inaweza kuwa ni psychological au emotional related kama stress, woga, wasiwasi, bond aliyonayo kwako, wewe mwenyewe, n.k.

Treatment inategemea na sababu ya huo ukavu. So, the first thing ni ku-diagnose cause ya ukavu.

Usianze tuu kutumia lubricants na vaginal moisturizers kama baadhi walivyopendekeza. Tafuta kwanza chanzo cha kuwa mkavu.

Na katika kutafuta chanzo kunahitaji ushirikiano mkubwa baina yenu, ikiwa ni pamoja na kwenda kwa wataalam pamoja kama nyie wenyewe mkishindwa ku-diagnose chanzo.

Labda anza kwa kumfanya aji-feel more loved and wanted than ever kama bado hufanyi hivyo. Hapa naama kuwa kugegedana iwe sehemu ndogo sana badala ya sehemu kubwa kila mnapofanya mapenzi.

Wengine wanakuwa so turn-in na kulowa kwa kuambiwa genuinely ni jinsi gani they are wanted or desired and how good they make you feel.

Badilisheni sehemu na style za kegegedana. Siyo lazima mgegedane maskani too au kwenye kitanda hicho hicho.

Pia don't forget the tale of woman's confidence. Some like it veeeeeery dirty than most men would think of. Na mwanamke who like it dirty does not necessarily mean that she is a slut.
 
Si hali ya kawaida wala si tatizo la kiafya bali ni tatizo la kimapenzi hana hisia na wewe kabisa

Sikutegemea jibu kama hili toka kwa mwanamke. Anyway, jifunze zaidi kuhusu wenzio inawezekana huwajui.
 
Hali ya kawaida sana iyo jaribu kutumia lubricants au mafuta ya mzaituni, asali ata KY jelly yatasaidia
 
Back
Top Bottom