Mgirik
JF-Expert Member
- Apr 27, 2013
- 13,213
- 13,253
Naomba kujuzwa juu ya hili tatizo kwa wanawake, tatizo la kuwa na uke mkavu. Yaan hata aandaliwe vipi uchi unakuwa mkavu japo inafikia hatua yeye analegea kabisa na anaomba aingiliwe lakn bado uke unakuwa hauna hata unyevu.
Kipind cha ujauzito alienda hospital kumbe ni kawaida kwa wanawake kutokwa na uchafu kipind wakiwa wajawazito lakn yeye huyu hamna hata uchafu uanao mtoka yaan ni mkavu kweli.
Wakuu nini husababisha hyo hali?