Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

Ushawahi kukutana na mwanamke ana uke mkavu sana yani hana ute,tatizo linasababishwa na nin? tiba yake ni ipi? mana unatumia mate weeee kulainisha njia mpk yanakauka mdomoni...
Unatakiwa kumuandaa na akiwa muwazi atakwambia ufanye nini mashine ipate utayari. Lakini pia inategemea na hisia kama hana hisia nawe ni ngumu mashine kulainika.
 
Unatakiwa kumuandaa na akiwa muwazi atakwambia ufanye nini mashine ipate utayari.. Lakini pia inategemea na hisia kama hana hisia nawe ni ngumu mashine kulainika
Tatizo sio hisia,nahisi ni tatizo la homoni my be,ana uke mzuri na msafi hana ugonjwa fangasi. Namuandaa nusu saa kabla ya game but hanaga vimaji maji na orgasm anafika mara 5 mpk 8.
 
tatizo sio hisia,nahisi ni tatizo la homoni my be,ana uke mzuri na msafi hana ugonjwa fangasi...namuandaa nusu saa kabla ya game but hanaga vimaji maji na orgasm anafika mara 5 mpk 8.
Mkuu,

Umeshawai jadili hili na yeye?
 
Hii ni medical problem especially kwa wale wanawake ambao mwanaume anamcheze vya kutosha ikiwamo kwenda chumvini ikiwa pamoja na mwanamke kuweka hisia zake kwenye game lakini hawaloi, sasa hapo ndio unatakiwa utumie jelly kama KY ndio muelewe hayo mafuta sio kazi yake ni kufiria ni lubricant kwa ajili ya vagina za aina hyo.
 
tatizo sio hisia, nahisi ni tatizo la homoni my be, ana uke mzuri na msafi hana ugonjwa fangasi. Namuandaa nusu saa kabla ya game but hanaga vimaji maji na orgasm anafika mara 5 mpk 8.
Anafika mara 5 hadi 8 halafu bado mkavu, hivi kuna aina ngapi za kufika bila kuloana, huyo atakuwa hakupendi na wala humfikishi hata kama ni mkeo believe me or not.
 
Ushawahi kukutana na mwanamke ana uke mkavu sana yani hana ute,tatizo linasababishwa na nin? tiba yake ni ipi? mana unatumia mate weeee kulainisha njia mpk yanakauka mdomoni...
Pole sana mkuu kama mwanamke ana umri wa kuanzia 45+ hiyo ni ishara ya kuwa na menopouse kama yuko chini ya umri huo basi atakuwa anatumia sukari sanaa matumizi ya sukari yakizidi hayo ndiyo madhara yake nyuchi zinakuwa kavu ila wanaume wengine tunazipenda hizo kavu we acha tu.
 
Hii ni medical problem especially kwa wale wanawake ambao mwanaume anamcheze vya kutosha ikiwamo kwenda chumvini ikiwa pamoja na mwanamke kuweka hisia zake kwenye game lakini hawaloi, sasa hapo ndio unatakiwa utumie jelly kama KY ndio muelewe hayo mafuta sio kazi yake ni kufiria ni lubricant kwa ajili ya vagina za aina hyo.
Ukianza kutumia any lubricant wakati wa Ku do, jiandae kisaikolojia soon unasukuma mbolea mmmamaeee
 
Hii ni medical problem especially kwa wale wanawake ambao mwanaume anamcheze vya kutosha ikiwamo kwenda chumvini ikiwa pamoja na mwanamke kuweka hisia zake kwenye game lakini hawaloi, sasa hapo ndio unatakiwa utumie jelly kama KY ndio muelewe hayo mafuta sio kazi yake ni kufiria ni lubricant kwa ajili ya vagina za aina hyo.
hzi KY c nasikia zimepgwa ban au bdo zipo mkuu?
 
Back
Top Bottom