Carlos The Jackal
JF-Expert Member
- Feb 6, 2017
- 25,725
- 78,589
Demu huyo anaweza kuwa hivi
[emoji117] Ana upungufu wa Estrogen
[emoji117]Ana mawazo kibao (usikute alikua anawaza kukupiga mzinga[emoji23][emoji23] kidding ..ila kweli Wenda anamawazo.
[emoji117]Ndo wale walikua wanasafisha K kwa sabuni ,fulu kuzipaka lotion na kuzinyunyuzia unyunyu ,,fulu kuziwekea poda). Sasa kaua Normal Flora wote ukeni[emoji23][emoji23]
Au demu wako yupo ktk matumizi ya dawa kwa muda mrefu.
Au anasumbuliwa na Sjogrens syndrome
Tiba
Inategemea na kisababishi chake, hivo basi, kiondoa Suala la Estrogen na Utumiaji wa madawa na tatizo LA Sjogren's yanayohitaji kufika Hospital
Hayo mengine ni masuala yako na wewe kukaa na kuhakikisha uke unakua na maji ndo ule mzigo kiroho safi.
Nimeandika kisela ila ndo ivo!!.