Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

Hili la kutopendwa limekaaje?

Inawezekana labda muanzisha Uzi, tuelezee kidogo.

Huenda kweli hana hisia sababu anawaza ex wake.

Lakini ni dhahiri Wapo wanawake wakavu, kwa usalama tumie mafuta ya mzeituni kingereza inaitwa olive oil... Utafanikiwa.

Kila la kheri Mkuu.
Olive oil unatumia kama kilainishi au unatumia kama dawa/tiba?
 
  • Thanks
Reactions: dtj
Ushawahi kukutana na mwanamke ana uke mkavu sana yani hana ute,tatizo linasababishwa na nin? tiba yake ni ipi? mana unatumia mate weeee kulainisha njia mpk yanakauka mdomoni...
Inasikitisha sana kwa kweli...
 
Pole sana mkuu kwa tatzo hilo, Binafsi mie nilikuwa mhanga wa tatzo hilo kwa wf wangu, Note kwa vladimirovich putin kajaribu kuelezea vzur sana Na chukua tahadhari ya King ngwaba.

Nashindw kukupa maelezo mazuri kwa sababu sielew kama ni mchumba au mke? ,Ameshapata mtoto au lah?

Kwa nini nimeuliza yote haya kwa sababu, wangu alikuwa muoga sana kupitia ile hofi yake hakuwahi kuzoea kabsaa hivyo basi ikamfanya kuwa na mawazo sana pale tu akijua jambo hilo linaenda kutokea maana yake hofu ilizidi sana. Hivyo basi wenda wako pia ni mawazo au kuna jambo linamsumbua.
Hii hali mara nyingi huisha anapojfungua

Nawasilisha
Bado hajapata mtoto. Pia, ana tatizo la kupta maumivu makali sana tena sana wakati wa hedhi.
 
noted,umenifungua macho kidogo,kuna tatizo ambalo analo la kuapata maumivu makali sana yasiyokawaida wakati wa hedhi yani anaumwa mpk unamuonea huruam na mara nyingi hutumia diklopa kutulia maumivu hayo namkataza but anatumia kwa siri sana....huenda hii ikawa ni moja ya sababu?
Duuu yaan tatzo hli hata wife analo. Uke kuwa mkavu, hisia hanazo nyingi, wakati wa hedhi shida tupu tatizo kubwa zaidi anadaka mimba zinatoka tu. Sometimes anaweza jikuta na dalili zote za kuwa mama kijacho lkn ghafla hali hyo hutoweka.
 
Duuu yaan tatzo hli hata wife analo. Uke kuwa mkavu, hisia hanazo nyingi, wakati wa hedhi shida tupu tatizo kubwa zaidi anadaka mimba zinatoka to. Sometimes anaweza jikuta na dalili zote za kuwa mama kijacho lkn ghafla hali hyo hutoweka.
Mweke chemba mbane akuambie ukweli. Ni mimba ngapi alitoa utotoni
 
Ilo si tatizo. Ni effect ya kutumika sana. Mpake tu hsta mafuta ya nazi
 
noted,umenifungua macho kidogo,kuna tatizo ambalo analo la kuapata maumivu makali sana yasiyokawaida wakati wa hedhi yani anaumwa mpk unamuonea huruam na mara nyingi hutumia diklopa kutulia maumivu hayo namkataza but anatumia kwa siri sana....huenda hii ikawa ni moja ya sababu?
Mi nilishajua hayo pia hivyo Fanya hima apate tiba. Hospitali nyingi saivi wababaishaji wengi sana. Ila hilo si tatizo kubwa sana kama utalichukulia hatua. Ana homon imbalance huyo.
 
Noted, umenifungua macho kidogo, kuna tatizo ambalo analo la kuapata maumivu makali sana yasiyokawaida wakati wa hedhi yani anaumwa mpk unamuonea huruam na mara nyingi hutumia diklopa kutulia maumivu hayo namkataza but anatumia kwa siri sana....huenda hii ikawa ni moja ya sababu?

Hahahaa mkuuu unazengua sana nahuyo demu wako naye hajipendi yaaan unaona anapata maumivu makali wakati wa hedhi then hamfanyi jitihada?

Kwa ufupi ni hivi, dysmenorrhea (maumivu wakati wahedhi) yanaweza kua ni primary -haya niyakawaida kwauyo demu wako imeshakua secondary dysmenorrhea ambayo inasababishwa na vitu vingi.

Lakini kikubwa ni pale cervix inapoaanza kua narrowed kitaalam inaitwa stenosis ,, sasa hii hali huchochewa sana na upungufu wa estrogen.

Hivyo basi, kama atakua na secondary dysmenorrhea ,acha kusumbuka sijui umapapase ,umwandae ,uke wake hautokaa ulainike ngooooooooooo.

Kwasababu, uwepo wa secondary dysmenorrhea, umesababishwa na upungufu wa estrogen, na huu upungufu ndio utakaoendelea kufanya *uke* wa demu wako kua mkavu throughout her entire life !!.

Embu hakikisha kesho unaenda naye hospital ,tena mshike mkono ukifatilia sana ,utagundua ,hata mkojo wake ni mchungu na wanjano.

Asante madimba jr
 
Duuh hili tatizo lipo kwa duu wangu kama kumuunadaa namuandaa sana tu sasa best solution ni kutumia vilainishi naombeni ushauri vipi vina faa visivyo na madhara.
 
Duu au amekeketwa? Nasikia waliokeketwa huwa kavu.
 
Hahahaa mkuuu unazengua sana nahuyo demu wako naye hajipendi .

Yaaan unaona anapata maumivu makali wakati Wa hedhi then hamfanyi jitihada ?

Kwaufupi niivi , Dysmenorrhea ( maumivu wakati wahedhi) yanaweza kua ni primary -haya niyakawaida .

Kwauyo demu wako imeshakua secondary Dysmenorrhea ambayo inasababishwa na vitu vingi.

Lkn kikubwa ni Pale Cervix inapoaanza kua narrowed kitaalam inaitwa Stenosis ,, sasa hii hali huchochewa sana na UPUNGUFU WA ESTROGEN.

HIVYO BASI , KAMA ATAKUA NA SECONDARY DYSMENORRHEA ,ACHA KUSUMBUKA SIJUI UMAPAPASE ,UMWANDAE ,UKE WAKE HAUTOKAA ULAINIKE NGOOOOOOOOOOO.

KWASABABU ,UWEPO WA SECONDARY DYSMENORRHEA ,UMESABABISHWA NA UPUNGUFU WA ESTROGEN ,,NAHUU UPUNGUFU ,NDIO UTAKAOENDELEA KUFANYA *UKE* WA DEMU WAKO KUA MKAVU THROUGHOUT HER ENTIRE LIFE

embu hakikisha kesho unaenda naye Hospital ,tena mshike mkono.

Ukifatilia sana ,utagundua ,hatA mkojo wake ni mchungu na wanjano

Asante Madimba jr
Asante sana Vladimirovich Putin.....umenipa mwanga wa kutosha sana mkuu
 
Anafika mara 5 hadi 8 halafu bado mkavu, hivi kuna aina ngapi za kufika bila kuloana, huyo atakuwa hakupendi na wala humfikishi hata kama ni mkeo believe me or not
Wapo asee wa hivi hata mi shuhuda. Unahis kapiz kbs hadi anavibrate lakini bado mkavu kbs.
 
noted,umenifungua macho kidogo,kuna tatizo ambalo analo la kuapata maumivu makali sana yasiyokawaida wakati wa hedhi yani anaumwa mpk unamuonea huruma na mara nyingi hutumia diklopa kutulia maumivu hayo namkataza but anatumia kwa siri sana huenda hii ikawa ni moja ya sababu?

Nafikiri ni hormone imbalance. Nilikuaga naumwa sana tumbo la hedhi then hapo nyuma a few years ago nikawa na experience dryness hatakama mwanaume ameniandaa. Nakushauri awe anakunywa Fennel tea, nunua mbegu za Fennel zenyewe na achemshe maji aweke hizo mbegu kijiko cha chai asubuhi na jioni, achuje then aweke asali kidogo anywe. Fennel sijui zinaitwaje Kiswahili. Ni moja ya viungo vya kupikia.

Tafuta najua huko home ziko. Au supu ya pweza. Inongeza Eostrogen pia. All the best. Jaribu kuangualia kama hio hali pia inatokea akiwa kwenye zile siku za hatari za kushika mimba. Hizo siku estogen inakuaga juu hivyo hamu ya kufanya mapenzi inakua juu na utelezi unazidi pia. Kama hapati hii, basi she def has hormone imbalance.
 
Wanaosema maandalizi sio kweli, wengine ni hatarii hata umwandae vp na kuzama chumvini vp analowa ukizamisha kidogo tu pakavu kama hukupagusa.

Kama analowa ukizama chumvini lakini ukizamisha mche kunakauka, that means ukizamisha mche stimulation inaisha kwasababu hakuna tena blood flow to that area. Cha kufanya hapa wakati unazamisha mche, endelea kuchezea kisimi na kidole ili stimulation isipotee.

Kuna wanawake wa aina mbili.

(1) wanapata stimulation kwa kuzamishiwa mche ambao moja kwa moja una gusa G spot au ukuta wa uke unaposuguliwa hence wao hufikia kileleni kupitia njia hii

(2) hii ni asilimia kubwa zaidi: wao hufika kileleni kupitia stimulation ya kisimi tu au kisimi na mche ukiwa ndani. Hivyo ni lazima ujue mwanamke wako ni wa aina gani, hii itawasiaidia wote wawili kuenjoy tendo hili.
 
Back
Top Bottom