Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

Tatizo la Uke Kuwa Mkavu: Chanzo, Suluhisho na Ushauri

Naomba kujuzwa juu ya hili tatizo kwa wanawake, tatizo la kuwa na uke mkavu. Yaan hata aandaliwe vipi uchi unakuwa mkavu japo inafikia hatua yeye analegea kabisa na anaomba aingiliwe lakn bado uke unakuwa hauna hata unyevu.

Kipind cha ujauzito alienda hospital kumbe ni kawaida kwa wanawake kutokwa na uchafu kipind wakiwa wajawazito lakn yeye huyu hamna hata uchafu uanao mtoka yaan ni mkavu kweli.

Wakuu nini husababisha hyo hali?
 
Anyway hii sio shida ya kuzaliwa hapana inatokana na utendaji wa hormones katika mwili lakini Mara nyingi hutokana na mwanamke kuwa ametumia madawa mengi na hasa contraceptives. mtu huyu atumie dawa au virutubisho vya Ku boost up hormones ili awe analowa unapomtekenya.wakati ukimtibia kwa njia hiyo jaribu kuwasiliana na waganda zipo herbs zinatibu analowa kabisa wangu alikuwa hivyo amepona, mkuu kila Mara usingenikosa na KY boots mfukoni.
 
Anyway hii sio shida ya kuzaliwa hapana inatokana na utendaji wa hormones katika mwili lakini Mara nyingi hutokana na mwanamke kuwa ametumia madawa mengi na hasa contraceptives. mtu huyu atumie dawa au virutubisho vya Ku boost up hormones ili awe analowa unapomtekenya.wakati ukimtibia kwa njia hiyo jaribu kuwasiliana na waganda zipo herbs zinatibu analowa kabisa wangu alikuwa hivyo amepona, mkuu kila Mara usingenikosa na KY boots mfukoni!

Nashukuru sana mkuu, japo niliwahi kuonana na dr mmoja akasema dawa zipo ila zna madhara na madhara yake atakuwa na k ya maji mengi mno kiasi kwamba inaweza kwa kero.

Sasa ulitumia dawa zipi mkuu
 
Nashukuru sana mkuu, japo niliwahi kuonana na dr mmoja akasema dawa zipo ila zna madhara na madhara yake atakuwa na k ya maji mengi mno kiasi kwamba inaweza kwa kero. Sasa ulitumia dawa zipi mkuu

Mkuu, ukweli dawa za hospitali hakutumia tuliogopa hicho hicho, side effects maana linaweza kuwa dimbwi ingawaje kwa wanyarwanda, waganda na Nshomire was halo kwetu hiyo ni jadi cha kufanya nenda Dynapham au jaws wrote wanaotoa virutubisho vya mwili update virutubisho vya Ku boost hormones atapona mkuu huo sio ugonjwa. Vilevile, mwambie apunguze stress mkuu.
 
Anyway hii sio shida ya kuzaliwa hapana inatokana na utendaji wa hormones katika mwili lakini Mara nyingi hutokana na mwanamke kuwa ametumia madawa mengi na hasa contraceptives. mtu huyu atumie dawa au virutubisho vya Ku boost up hormones ili awe analowa unapomtekenya.wakati ukimtibia kwa njia hiyo jaribu kuwasiliana na waganda zipo herbs zinatibu analowa kabisa wangu alikuwa hivyo amepona, mkuu kila Mara usingenikosa na KY boots mfukoni!

Mkuu Nakioze, homoni zikizid au kupungua tayari ni tatizo, nenda hosp wakamfanyie maalifa ili na yeyey awe ana pata umate mate na udambwi dambwi.
 
Last edited by a moderator:
Mkuu hizi tab zinamiss behave kwenye lugha sababu zimesetiwa kinyamwezi nasema wote wale wanasambaza food supplements hawakosi hizo lishe. pia Mimi nakaa Goma DRC I will be going to Mombasa via Kampala soon next week fortunately enough I have the # for the herbal Dr who prescribed me the medicine I will see him and Give you the feed back ni chupa kama 2 anarudi normal. na nitakununulia mkuu nikutumie mahali upo.
 
mkuu, ukweli dawa za hospital hakutumia tuliogopa hicho hicho, side effects maana linawezs kuwa dimbwi ingawaje kwa wanyarwanda, waganda na Nshomire was halo kwetu hiyo ni jadi cha kufanya nenda Dynapham au jaws wrote wanaotoa virutubisho vya mwili update virutubisho vya Ku boost hormones atapona mkuu huo sio ugonjwa!! vile vile mwambie apunguze stress mkuu cjui una nyumba ndogo?

Nashukuru sana kaka, nyumba ndogo sina hilo tatizo analo toka kitambo
 
Mkuu hizi tab zinamiss behave kwenye lugha sababu zimesetiwa kinyamwezi nasema wote wale wanasambaza food supplements hawakosi hizo lishe. pia Mimi nakaa Goma DRC I will be going to Mombasa via Kampala soon next week fortunately enough I have the # for the herbal Dr who prescribed me the medicine I will see him and Give you the feed back ni chupa kama 2 anarudi normal. na nitakununulia mkuu nikutumie mahali upo.

Itakuwa vema sana mkuu.
 
Mkuu, hebu mjaribu hii kitu uone matokeo yake.

Mmmmhh! Huko hapana mkuu.
Hyo ni first aid hapa nataka msaada wa kumaliza kabisa hilo tatizo.

Hayo mambo ya kwenda dukan kununua halafu watu wanakuangalia kwa jicho la pili hapana mm siwez.
Kama condom yenyew kuulizia ni ishu ndio iwe KY.
 
mmmmhh! Huko hapana mkuu. Hyo ni first aid hapa nataka msaada wa kumaliza kabisa hilo tatizo.

Hayo mambo ya kwenda dukan kununua halafu watu wanakuangalia kwa jicho la pili hapana mm siwez.
Kama condom yenyew kuulizia ni ishu ndio iwe ky

Umeona eeee!! bora umeshtuka jamaa anataka anataka ukweni wakuchukie wataju upande wapil kwa mtoto wao kunatumika.
 
itakuwa vema sana mkuu

Usijali mkuu, kifo cha wengi ni harusi! atapona kabisa ila wakati unaendelea na tiba nunua Boots KY kidogo tu unajipaka mambo yanaendelea. katikati ya week ijayo nitakuita nikiwa Kampala tayari kukutumia hizo chupa 2 na uombe mungu maana wanasema : Mganga ni Mungu! Chao! wasalimie wa Tz huku tunaitwa hivyo.
 
Hana hisia na wewe kabisa huyo. Kuna mkunandiko anamuwaza Au Labda hujui kufanya

Kama hujui kitu si lazima uandike. Unachoongea hapo si kweli na ni hisia za mtu asiyejua kitu. Mambo ya kidaktari haya, yapo sana na ingefaa ujifunze. Yanahusu wanadamu kama wewe.
 
Hakuna mwanamke aliyemkavu sehemu hizo. Labda awe ana hisia tofauti na hali halis au hakupendi kabisa. Vinginevyo maumbile yako pia yamekaa vibaya yanamtisha mwenzio.
Mambo ya kidaktari hayo unaonekana vizuri kabisa kuwa huna ujualo hapo. Kwa nini usitulie ujifunze kwa wengine? Watu wengine mnakera!
 
Hivi niulize na wale wa kona bar wanakua na hisia na kila mwanaume wanayekutana nao? Maana kila unayemchukua kitu mnato.
 
Mpenzi wako siyo mkavu sehemu za siri kama unavyodai bali tatizo ni wewe unamrukia kama kuku, unachotakiwa kufanya ni kumuandaa kimahaba kwa muda wa kutosha ma mwili wake utakupa majibu kuwa yuko tayari kwa tendo hilo. Ukiendelea na tamaa zako za kuku iwapo hajawa tayari atachubuka na mwisho wa siku hatakufurahia na hivyo uhusiano wenu utakkuwa hatarini.
 
Amuone daktari, kwani tatizo si kubwa sana, atapata suluhisho, au nitafute kwa ushauri zaidi
 
Back
Top Bottom