Yoda
JF-Expert Member
- Jul 22, 2018
- 48,475
- 70,102
Kuna wakati kulikuwa na kelele nyingi sana na matangazo kila kona kuhusu tatizo la nguvu za kiume na tiba mbalimbali za kuongeza nguvu za kiume.
Sasa hivi ni kama harakati za kutafuta nguvu za kiume zimefifia sana, hazisikiki kelele nyingi katika vyombo mbalimbali vya habari au mitandao kuhusu masuala ya nguvu za kiume.
Kulikoni? Nini kimetokea hadi kupelekea harakati hizo kupungua sana kama sio kupotea kabisa?