SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Mungu hadhihakiwi,wakipigwa spana na Muumba wanaanza kutafuta mchawiKupungua kwa umeme ni mipango ya Mungu - Samia
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu hadhihakiwi,wakipigwa spana na Muumba wanaanza kutafuta mchawiKupungua kwa umeme ni mipango ya Mungu - Samia
Nadhani kuna kitu ambacho wewe na mimi hatukijui. Inawezekana kabisa miradi yote hiyo ilikuwa na upigaji mwingi, yaani ilijaa rushwa na watu walikuwa wameshachukua rushwa tayari. Na ndiyo maana kwa sasa kinachotokea ni kuhakikisha "kazi iendelee" ya kufufua yale ambayo awamu ya 5 iliyaona hayafai yanaendelezwa na hii awamu ya 6. Kuhusu umeme wa maji nadhani nayo ilikuwa master plan. Kuhusu kukatika kwa umeme kwa kweli sijui awamu ya 5 hayo mambo hayakuwepo.By Zitto kupitia twitter:
Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi?
Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye power system master plan ilisimama kupeleka hela kwenye Stigler’s gorge ambayo wataalamu wote walituambia itachukua Miaka 7 kukamilika 100%.Lakini Kwa kuwa Sisi ni Watu wa kukubali uongo na propaganda tukaamini.Leo tunaambiwa delays tunawaka.
Siamini kuna hujuma. Ninaamini ni mambo ya kisera na madhara ya Miaka 5 unusu ya incompetence katika uendeshaji wa Uchumi. Tulidanganywa na tukaamini uongo huo. Sasa tunatumia uongo ule kuwapima wenye Mamlaka sasa. NCHI HAINA UMEME WA KUTOSHA. Hatujaongeza Hata 1MW kwa Miaka 5
Mkuu unashindwa kuelewa kuwa huu mgao wa umeme ni michongo ya watuHivi nyie watu wakati huo mlikuwa mnaishi Tanzania au ndo ile ya kusifia kila kitu?
Hebu tuangalie kwa kwa haraka haraka tukianza na mdau kutoka Arusha...
View attachment 2015661
Fuatilia huo uzi uone watu walivyokuwa wanalalamika kuhusu umeme, tena February!!
Nyuzi nyingine....
1. Kuna mgao wa umeme wa kimya kimya December 05, 2020
2. Mgao mkali wa umeme Morogoro mjini - December 21, 2020
3. Wilaya ya Ubungo kuna mgao wa umeme? Mpaka sasa hakuna umeme March 01, 2021
4. TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini March 04, 2021
Hivi nyie watu wakati huo mlikuwa mnaishi Tanzania au ndo ile ya kusifia kila kitu?
Hebu tuangalie kwa kwa haraka haraka tukianza na mdau kutoka Arusha...
View attachment 2015661
Fuatilia huo uzi uone watu walivyokuwa wanalalamika kuhusu umeme, tena February!!
Nyuzi nyingine....
1. Kuna mgao wa umeme wa kimya kimya December 05, 2020
2. Mgao mkali wa umeme Morogoro mjini - December 21, 2020
3. Wilaya ya Ubungo kuna mgao wa umeme? Mpaka sasa hakuna umeme March 01, 2021
4. TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini March 04, 2021
Duh ,mkuu umeingia deep sana ila kwakua iq zetu ni ndogo,kuna mijitu itakuja kukuzodoaView attachment 2015658
Zitto ni mtu ambae anatafuta information na kujenga premise uchwara anazotaka yeye.
TANESCO long term plan ya umeme inapatikana kwenye hapo juu ☝️na kwenye pipeline kuna renewables, hydropower, gas and coal. Hakuna priorities ya kipi kianze.
Yeye anachukua source moja na kujengea hoja kama makosa na very simple watu kama hao wakimpata mtu anaefahamu maswala ya energy kuwa expose limitations zao ni rahisi sana.
Ukiangalia tu ivyo vyanzo vyote vya gas gharama yake inafika $2.9 billion umeme ni megawatts 2500.
Bwawa la Nyerer gharama $2.9 billion umeme megawatts 2115.
Bwawa la Nyerere lina cheap unit costs.
More safe maana bomba la gas line ni moja tu hakuna back line likichezewa nchi nzima aina umeme na tayari over 64% ya umeme wetu unatoka kuongeza hiyo sio hatua nzuri ya kumitigate energy security risks.
Ukishatengeneza vyanzo inabidi uajiri na kuna gharama za matunzo. Bwawa la Nyerere linaondoa operation costs za plant kama nne hivi za kujenga gas plants.
Vitu vingine ata kuandika shida, I tell you kule Twitter ni kikundi cha wapuuzi tu huwa wanaandika ambavyo awajawahi kuvifanyia research na kuviandikia report katika maisha yao; yaani ujinga mtupu.
Ndio mwache Bibi yangu aupige mwingi ubwabwaAu mimi ndo sijaelewa eti mama kufungua nchi ndo umeme umekuwa on demand mpaka kufikia level ya magao!?
Mgao unasubiri kutangaziwa si unauona tuMnataka kutuambia wakati wa Magufuli umeme ulikuwa haukatiki?
Nani angethubutu kutangaza mgao?
We kesho unatakiwa polis makao makuuu unamuita rais maushungi duAcha kujivua nguo wewe! JPM Alikua zaidi ya huo upuuzi ulioandika, na bado, mpk Maushungi anamaliza muda wake kutakuwa na mgao mpk wa boxer!!
Swali zuri sana akikujibu ni tag mkuuNa kwa nini kipindi Cha kikwete umeme ilikuwa unakatika Sana?
Sababu nayo ni awamu ya 3?
Jiwe ndio alikuwa handsome?Zito sura lake baya sauti lake baya zezeta lichumia tumbo mamruki la CCM CHAMA CHA WAPIGA DILI NDIO MAAANA NASEMA TANZANIA HAKUNA UPINZANI ETI KMA NDIO PINZANI HILI KWELI? hajui agenda ya chama chake ni kipi Ccm ndio limetengeneza chama hicho pale amekaaa tu kma box eti nae anajiiita msomi
Futa kauli yako mkuu, hujawahi kuona mgao kweli au kwa sababu haikusemwa ni mgao? Jiulize pia ni Watu wangapi wameunganishwa baada ya Samia kushusha bei mpaka 27000,matumiz yameongezeka na production imeshuka.Acheni upumbavu jamani!
Jk alikuwa na mgao wa umeme wa kufa mtu!
Magufuli hakuwa na mgao kabisa wa umeme...!
Samia kaingia tu tayari mgao, hebu twambieni huyu mnaemlaumu yeye alikuwa anatumia mitambo ipi?
Mnafiki anasema haukukatika kwakuwa nchi ilikuwa imefungwa [emoji38][emoji38][emoji38]
Ukweli ni kitu adimu sana kwenye ulimwengu wa siasa.By Zitto kupitia twitter:
Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi?
Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye power system master plan ilisimama kupeleka hela kwenye Stigler’s gorge ambayo wataalamu wote walituambia itachukua Miaka 7 kukamilika 100%.Lakini Kwa kuwa Sisi ni Watu wa kukubali uongo na propaganda tukaamini.Leo tunaambiwa delays tunawaka.
Siamini kuna hujuma. Ninaamini ni mambo ya kisera na madhara ya Miaka 5 unusu ya incompetence katika uendeshaji wa Uchumi. Tulidanganywa na tukaamini uongo huo. Sasa tunatumia uongo ule kuwapima wenye Mamlaka sasa. NCHI HAINA UMEME WA KUTOSHA. Hatujaongeza Hata 1MW kwa Miaka 5
Hakuna kitu hapo?
Zitto umepigwa hapa na kitu kizito kichwani hahahaView attachment 2015658
Zitto ni mtu ambae anatafuta information na kujenga premise uchwara anazotaka yeye.
TANESCO long term plan ya umeme inapatikana kwenye hapo juu ☝️na kwenye pipeline kuna renewables, hydropower, gas and coal. Hakuna priorities ya kipi kianze.
Yeye anachukua source moja na kujengea hoja kama makosa na very simple watu kama hao wakimpata mtu anaefahamu maswala ya energy kuwa expose limitations zao ni rahisi sana.
Ukiangalia tu ivyo vyanzo vyote vya gas gharama yake inafika $2.9 billion umeme ni megawatts 2500.
Bwawa la Nyerer gharama $2.9 billion umeme megawatts 2115.
Bwawa la Nyerere lina cheap unit costs.
More safe maana bomba la gas line ni moja tu hakuna back line likichezewa nchi nzima aina umeme na tayari over 64% ya umeme wetu unatoka kuongeza hiyo sio hatua nzuri ya kumitigate energy security risks.
Ukishatengeneza vyanzo inabidi uajiri na kuna gharama za matunzo. Bwawa la Nyerere linaondoa operation costs za plant kama nne hivi za kujenga gas plants.
Vitu vingine ata kuandika shida, I tell you kule Twitter ni kikundi cha wapuuzi tu huwa wanaandika ambavyo awajawahi kuvifanyia research na kuviandikia report katika maisha yao; yaani ujinga mtupu.
Matakataka yatakwambia wewe ni sukuma gangView attachment 2015658
Zitto ni mtu ambae anatafuta information na kujenga premise uchwara anazotaka yeye.
TANESCO long term plan ya umeme inapatikana kwenye hapo juu [emoji3516]na kwenye pipeline kuna renewables, hydropower, gas and coal. Hakuna priorities ya kipi kianze.