Tatizo la umeme: Awamu ya tano haiwezi kukwepa lawama labda tu kama madai hayana ukweli

Nadhani kuna kitu ambacho wewe na mimi hatukijui. Inawezekana kabisa miradi yote hiyo ilikuwa na upigaji mwingi, yaani ilijaa rushwa na watu walikuwa wameshachukua rushwa tayari. Na ndiyo maana kwa sasa kinachotokea ni kuhakikisha "kazi iendelee" ya kufufua yale ambayo awamu ya 5 iliyaona hayafai yanaendelezwa na hii awamu ya 6. Kuhusu umeme wa maji nadhani nayo ilikuwa master plan. Kuhusu kukatika kwa umeme kwa kweli sijui awamu ya 5 hayo mambo hayakuwepo.
 
Mkuu unashindwa kuelewa kuwa huu mgao wa umeme ni michongo ya watu
 

Ukiona watu hawakumbuki ujue it was immaterial damage, sawa na kutafuta tone la maji kwenye bahari.. Ila ya sasa ni gumzo..

Jaribu kujiuliza hata kidogo why now tention iko juu sana? Kwa mizania ya idadi ya nyuzi zilizofunguliwa ndani ya siku hizi chache tu..

Hitilifu za hapa na pale hazikosekani ila zisikithiri.
 
Zito sura lake baya sauti lake baya zezeta lichumia tumbo mamruki la CCM CHAMA CHA WAPIGA DILI NDIO MAAANA NASEMA TANZANIA HAKUNA UPINZANI ETI KMA NDIO PINZANI HILI KWELI? hajui agenda ya chama chake ni kipi Ccm ndio limetengeneza chama hicho pale amekaaa tu kma box eti nae anajiiita msomi
 
Duh ,mkuu umeingia deep sana ila kwakua iq zetu ni ndogo,kuna mijitu itakuja kukuzodoa
 
Acha kujivua nguo wewe! JPM Alikua zaidi ya huo upuuzi ulioandika, na bado, mpk Maushungi anamaliza muda wake kutakuwa na mgao mpk wa boxer!!
We kesho unatakiwa polis makao makuuu unamuita rais maushungi du
 
Jiwe ndio alikuwa handsome?

Halafu hoja ya uzuri wa sura hapa inaingiaje?

Au hii mada inahusu urembo?

Acha kuwa kilaza.
 
Acheni upumbavu jamani!

Jk alikuwa na mgao wa umeme wa kufa mtu!

Magufuli hakuwa na mgao kabisa wa umeme...!

Samia kaingia tu tayari mgao, hebu twambieni huyu mnaemlaumu yeye alikuwa anatumia mitambo ipi?
Futa kauli yako mkuu, hujawahi kuona mgao kweli au kwa sababu haikusemwa ni mgao? Jiulize pia ni Watu wangapi wameunganishwa baada ya Samia kushusha bei mpaka 27000,matumiz yameongezeka na production imeshuka.
Labda kama huoni hili jua na joto basi kwako itakuwa uzalishaji uko pale pale
 
Ukweli ni kitu adimu sana kwenye ulimwengu wa siasa.
Magufuli alikuwa na upendo wa kipekee sana na Tanzania na kizuri zaidi Magufuli alikua na uwezo mkubwa wa kuelewa na kutafakari mambo. Lazima tukubaliane na uhalisia wa sasa kwamba tumempoteza kiongozi(head) hivyo kila mwenye dili lake anatumia ujuzi wa lugha na ushawishi wa namna yake kutwist ukweli ili agenda yake ipite.
Magufuli aliweka wazi ni hatari sana nchi kupoteza control kwenye eneo nishati hivyo kupunguza utegemezi ndio maana alifufua agenda ya strigler. Na aliamua kwenda kwenye maji kwa kutambua eneo ya natural gas limeshakamwata na wabia (kampuni za nje) hivyo tutakuwa tumepoza eneo hilo.
Lazima uelewe taifa lina idadi kubwa ya viongozi wabinafsi na wala rushwa hivyo ni nadra kwao kufikiri miaka 50 baada ya leo na kukubali kupokea 10% ambazo zinazaa manufaa binafsi na mzigo mkubwa kwa nchi.
 
Zitto umepigwa hapa na kitu kizito kichwani hahaha
 
Matakataka yatakwambia wewe ni sukuma gang
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…