Hoja yangu kwa yule bwana ni ile ile---By Zitto kupitia twitter:
Mradi wa 300MW Mtwara ulisimama. Mradi wa 350MW Kilwa ulisimama. Mradi wa nyongeza Kinyerezi 185MW ulisimama. Mradi wa Kinyerezi 3 and 4 umesimama. Utapata wapi Umeme kulisha nyongeza ya shughuli za Uchumi baada kufungua Nchi?
Miradi yote ya Umeme iliyokuwa kwenye power system master plan ilisimama kupeleka hela kwenye Stigler’s gorge ambayo wataalamu wote walituambia itachukua Miaka 7 kukamilika 100%.Lakini Kwa kuwa Sisi ni Watu wa kukubali uongo na propaganda tukaamini. Leo tunaambiwa delays tunawaka.
Siamini kuna hujuma. Ninaamini ni mambo ya kisera na madhara ya Miaka 5 unusu ya incompetence katika uendeshaji wa Uchumi. Tulidanganywa na tukaamini uongo huo. Sasa tunatumia uongo ule kuwapima wenye Mamlaka sasa. NCHI HAINA UMEME WA KUTOSHA. Hatujaongeza Hata 1MW kwa Miaka 5
Kwan Saiv nani katangaza mgao si tunaona wenyewe manake hata kwa jpm tungeona matokeoMnataka kutuambia wakati wa Magufuli umeme ulikuwa haukatiki?
Nani angethubutu kutangaza mgao?
Kupungua kwa umeme ni mipango ya Mungu - Samia
Kuna connection ya moja kwa moja ya tabia za Msoga na tabia zilizoko ikulu sasa, tumerudishwa kwenye circle ya wapigaji.Acheni upumbavu jamani!
Jk alikuwa na mgao wa umeme wa kufa mtu!
Magufuli hakuwa na mgao kabisa wa umeme...!
Samia kaingia tu tayari mgao, hebu twambieni huyu mnaemlaumu yeye alikuwa anatumia mitambo ipi?
Magufuli aliingia madarakani 2015, hiyo "migao yako" ni baada ya miaka mitano mbele, nasema migao yako kwasababu naona hao waandishi walikuwa wanauliza kama mgao upo, kama umeme ulikatika kwa ajili ya matengenezo wangejuaje?Hivi nyie watu wakati huo mlikuwa mnaishi Tanzania au ndo ile ya kusifia kila kitu?
Hebu tuangalie kwa kwa haraka haraka tukianza na mdau kutoka Arusha...
View attachment 2015661
Fuatilia huo uzi uone watu walivyokuwa wanalalamika kuhusu umeme, tena February!!
Nyuzi nyingine....
1. Kuna mgao wa umeme wa kimya kimya December 05, 2020
2. Mgao mkali wa umeme Morogoro mjini - December 21, 2020
3. Wilaya ya Ubungo kuna mgao wa umeme? Mpaka sasa hakuna umeme March 01, 2021
4. TANESCO tutangazieni kama kuna mgao wa umeme nchini March 04, 2021
Hayo ni malalamiko yaliyotokea sehemu mbalimbali za nchi ndani ya miezi 3 TU!!!
Tatizo tumezungukwa na circle ya wapigaji, watu wenye rekodi chafu ya utendaji wao hawawezi kusema neno lolote likaaminika.Ukiona watu hawakumbuki ujue it was immaterial damage, sawa na kutafuta tone la maji kwenye bahari.. Ila ya sasa ni gumzo..
Jaribu kujiuliza hata kidogo why now tention iko juu sana? Kwa mizania ya idadi ya nyuzi zilizofunguliwa ndani ya siku hizi chache tu..
Hitilifu za hapa na pale hazikosekani ila zisikithiri.
Usiongee kwa hisia mkuu, kwanini uamini ni michongo ya watu? Chige amekuonesha wakati wa mwendazake mambo ya umeme ilishawahi kutokea kama hivi.Nani asiyejua kuwa kuna hali ya ukame muda huu?Mkuu unashindwa kuelewa kuwa huu mgao wa umeme ni michongo ya watu
Tukubaliane kwanza kuna ukame au hakuna ukame?Kama unakumbuka serikali ilishasema mara nyingi kuwa umeme uliopo ni zaidi ya matumizi ya tanzania yote na wakasema kuna ziada ya mgw 270 au zaidi
Sasa je nini kimepunguza hizo ziada mpaka kuwepo na upungufu?
Ni.bwawa gani lina zaidi ya mgw 260 hapa tz na limesimama kufanya kazi?
Kauli ya waziri mara ya kwanza ni kuwa wanafanya ukarabati et watu waliogopa kukata umeme.
Mara ya pili wanasema ni kupungua kwa maji
Sasa jiulize hizo kauli kinzani zina maana gani kama sio kutaka kutupiga ili wanunue mafuta mazito kwa bei kubwa ili wagawane chao?
Wazili hajui nini tatizo la umeme na kesho atasema gesi imepungua.
Lengo amchafue magufuli kisha atupige wadanganyika huku tukilaumu kitu kisichokuwapo.
Kwa hiyo hata kutoa taarifa kuwa wanakata umeme nalo ni kosa la magufuli?
Makamba na zito sasa wanataka kuitafuna tanesco,
?walianz kutaka kuibinafsisha tena wamekuja na mambo mengine.
Mama akisafiri midege inakula sana umeme [emoji16][emoji16][emoji16]Nchi ili fungua na nini ?! Jamani Mbona sioni jipya Embu watuambie mapya ni yapi ya kula Umeme [emoji1787]
Hakuna mtu analazimisha Samia atawale kama Magu!Wafuasi wa Marehemu ni wajinga, na wale wanaompiga vita Marehemu kwa sasa ni wajinga zaidi!! Magu ameshakufa, harudi tena, amesharudisha hesabu zake!! Kuna mazuri alifanya na kuna mabaya alifanya pia, hakuna binadamu aliyekamilika!! Samia siyo Magu, na hawezi kuwa Magu, hakuna mtu yeyote atakuja kuwa Magu! Mnaolazimisha Samia atawale kama Magu nanyi ni wajinga pia, kila mtu anatawala kutokana na mtazamo wake wa kiuongozi, ndiyo maana kuna kubadilisha marais ili kupata chemistry nzuri ya kujenga nchi!! SERIKALI YA AWAMU YA 6 ITATAWALA TOFAUTI NA AWAMU YA 5, ITAWEKA WATU WAKE INAYOAMINI INAWAFAA KUISONGEZA NCHI MBELE, ZAIDI YA HAPO MNAJIPANDISHA BP BILA SABABU YA MSINGI!! Samia tupo naye mpaka 2030, baada ya hapo ndiyo mnaweza weka hao watu wenu mnaowataka!! TUNA MIAKA 9 MBELE YA KUONGOZWA NA SAMIA, Chukueni huo ukweli mchungu mtembee nao huku mkichapa kazi!! Tatizo la umeme kwa sasa lipo kwenye nchi zote zinazotegemea umeme wa maji including China and US! China kuna viwanda vimefungwa sababu ya upungufu wa umeme, ila kwa sababu wananchi wake wana "Ubongo" wameelezwa sababu wameelewa.....Nyie mnapayuka payuka hovyo mambo ambayo hata hamyajui...
Kama wewe ni msomi sababu za uhaba wa maji huko china kulingana na hii habari ni tofauti kabisa na hizi zetu hapaChina power cuts: What is causing the country's blackouts?
China is struggling with a severe shortage of electricity which has left millions of homes and businesses hit by power cuts.
Blackouts are not that unusual in the country but this year a number of factors have contributed to a perfect storm for electricity suppliers.
The problem is particularly serious in China's north eastern industrial hubs as winter approaches - and is something that could have implications for the rest of the world.
Why has China been hit by power shortages?
The country has in the past struggled to balance electricity supplies with demand, which has often left many of China's provinces at risk of power outages.
During times of peak power consumption in the summer and winter the problem becomes particularly acute.
But this year a number of factors have come together to make the issue especially serious.
As the world starts to reopen after the pandemic, demand for Chinese goods is surging and the factories making them need a lot more power.
Rules imposed by Beijing as it attempts to make the country carbon neutral by 2060 have seen coal production slow, even as the country still relies on coal for more than half of its power.
And as electricity demand has risen, the price of coal has been pushed up.
But with the government strictly controlling electricity prices, coal-fired power plants are unwilling to operate at a loss, with many drastically reducing their output instead.
Who is being affected by the blackouts?
Homes and businesses have been affected by power cuts as electricity has been rationed in several provinces and regions.
The state-run Global Times newspaper said there had been outages in four provinces - Guangdong in the south and Heilongjiang, Jilin and Liaoning in the north east. There are also reports of power cuts in other parts of the country.
Companies in major manufacturing areas have been called on to reduce energy usage during periods of peak demand or limit the number of days that they operate.
Energy-intensive industries such as steel-making, aluminium smelting, cement manufacturing and fertiliser production are among the businesses hardest hit by the outages.
What has the impact been on China's economy?
Official figures have shown that in September 2021, Chinese factory activity shrunk to the lowest it had been since February 2020, when coronavirus lockdowns crippled the economy.
Concerns over the power cuts have contributed to global investment banks cutting their forecasts for the country's economic growth.
Goldman Sachs has estimated that as much as 44% of the country's industrial activity has been affected by power shortages. It now expects the world's second largest economy to expand by 7.8% this year, down from its previous prediction of 8.2%.
Globally, the outages could affect supply chains, especially towards the end-of-the-year shopping season.
Since economies have reopened, retailers around the world have already been facing widespread disruption amid a surge in demand for imports.
What is China doing to resolve the problem?
China's economic planner, the National Development and Reform Commission (NDRC), has outlined a number of measures to resolve the problem, with energy supplies in the northeast of the country as its main priority this winter.
The measures include working closely with generating firms to increase output, ensuring full supplies of coal and promoting the rationing of electricity.
The China Electricity Council, which represents generating firms, has also said that coal-fired power companies were now "expanding their procurement channels at any cost" in order to guarantee winter heat and electricity supplies.
However, finding new sources of coal imports may not be straightforward.
Russia is already focused on its customers in Europe, Indonesian output has been hit by heavy rains and nearby Mongolia is facing a shortage of road haulage capacity.
BBC