Tatizo la umeme: Awamu ya tano haiwezi kukwepa lawama labda tu kama madai hayana ukweli

Naomba Zito aje na cost benefit analysis ya matumizi ya Gas. Nani anamiliki gas, anatuuzia bei gani, gharama ya kuzalisha kWh 1 ni shs ngapi, na zaidi atueleze nani anamiliki mitambo ya kuzalisha umeme aliyoitaja. Kama si mitambo ya serikali, basi atueleze tanesco watalipa shs ngapi kwa kwh na wao watauza shs ngapi kwa mtumiaji/mteja. Na zaidi namwomba aeleze hapa jinsi songas inavyolipwa na Tanesco.
 
Magufuli aliwaambia Gas siyo yetu, kama Zito anadhani ni yetu atuambie ukweli.
 
Acha story mingi, nimekuomba uthibitishe kauli zako kuhusu kutawaliwa miaka 99 kutokana na Bandari and Kikwete kupewa 10% ya gas!! Mbona unazunguka zunguka sana???
 
hahahah mkuu mbona mwendokasi inaendelea na sasa imefika asilimia 40? hebu punguzeni uongo bhana.....au wewe unaishi wapi ? umepita mawasiliano au umepita kariakoo na mbagala? au sio mradi wa mwendokasi ule? hahahaha
Inaendelea kwa plan/speed ile ile aliyoacha mtangulizi wake?
 
Mleta mada Ni upinzani kindaki ndaki

Sasa hivi Wana CCM tukiandika kitu Cha kukosoa Serikali humu. Upinzani unapinga nakutetea msimamo wa serikali .Hadi Raha .Mfano Ni huyu mleta mada

.CCM hoyeeee
 
Ukisoma tweet za makamba utagundua anamponda magu
 
Ukisoma tweet za makamba utagundua anamponda magu
Ni tafsiri yako tu Chief, Makamba hajawahi kumponda wala kumtukana Magu! Ile ishu yake na Magu alikuwa anajitahidi kulinda legacy ya Baba yake kutokana na matusi ya Musiba..Tuwekee Tweet moja hapa anayomponda Magu
 
huelewi tatizo, akili hazipo sawasawa kichwani.
 
 
 
Wewe unaongelea gharama wakati shida ni maji ya kulijaza hilo bwawa kwa wakati wote ndiyo shida.Umeme wa maji ni lazima utegemee mito.Sasa kama mito yenyewe inajaa na kupwa na hivyo kupelekea bwawa kujaa na wakati mwingine kupungua ujazo hitajika,utasemaje ndiyo mkombozi pekee?.
 
Mkuu!Watu wa [emoji88] walishavurugwa na kuondokewa na [emoji88].
 
Japo tuna ukame,lakini ukosefu wa umeme una mkono wa kisiasa na uzembe au hujuma.
Kama gas asilia inazalisha 60% ya umeme wa nchi nzima ni wazi miundo mbinu yake ikiwepo ma gas turbine ilitakiwa kuwa katika hali ya uhakika ready to run smoothly or standby mode muda wote.
Hawa wapuuzi inaonekana walikuwa wakizima mitambo ya gas wakati maji ya mabwawa yalipokuwa bwelele hawakuyafanyia planned maintenance, sasa wanakumbuka shuka asubuhi!
Lakini maji kwenye mabwawa yalipungua gradually kwanini TANESCO hawakufanya contigence plan hadi kiwango cha maji kwenye mabwawa kikawa kidogo?
Kuna wakati hizi taasisi za Umma kama TANESCO teuzi na maamuzi ya uendeshaji ni ya wanasiasa.
Kitu ambacho watu wengi hawajui black out ni uhaini yaani treason.
 
Acheni kuhamisha magoli.......awamu hii imeshafeli kwenye suala la umeme na maji. Watanzania sio wajinga.
Awamu hii ndiyo inamiezi 8 tu.Alafu unasema imefeli na wakati huohuo kwa mara ya kwanza ndani ya miaka 10 ni mwaka huu joto limepanda kuliko miaka yote 10 iliyopita na huku mvua pia zikichelewa kuanza kunyesha.Sasa kwa nini maji yasipungue mabwawani?.Kususiwa na [emoji88] miradi ya gas kwa wivu na ubinafsi ndiyo sababu ya kukosa njia mbadala.
 
Naomba uniambie sustainability ya hilo itakuaje maana hadi sasa kuna mabadiliko makubwa ya hali ya hewa, hapo dsm tu mpaka sasa kuna mgao, mito haji hakuna!!

Je huu mradi wa bwawa hautakua kimeo baadae?
 
Naomba orodha ya shughuli za kiuchumi zilizofunguliwa kisha zikasababisha upungufu mkubwa wa umeme. Orodha hiyo iambatane na kiwango cha mahitaji ya umeme yasiyotiliwa mashaka kwa kila shughuli.

Karibu.
Hata wenzake wote hawawezi kukupa jibu. Wakati wa Nabii Walwa Njozi ungishatumiwa wasiojulikana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…