Roho Mbaya
JF-Expert Member
- Aug 1, 2012
- 777
- 677
Ni takrbani Masaa nane toka saa 3.20 usiku hadi hivi sasa alfajili tuko gizani bila Tanesco kutoa taarifa yoyote kwa Wananchi
[emoji819]Watanzania wanalala gizani huku viongozi wakishindwa kuwajibika kwa matatizo yayotokea.
[emoji819]Mtu wa kwanza kuwajibika katika hili ni Waziri anayehudumu hivi sasa kwa kushindwa kuhimili mikimiki ya Wizara hiyo, Hali inayosabaisha umeme kukatika mara mara swala ambalo hapo awali halikuwepo kabisa kama ilivyo hivi sasa
[emoji819]Hizi hujuma wanazofanyiwa Watanzania hivi sasa na wakati waziri husika yupo tu akitembelea V8 na kuziba masikio kama hahusiki. Ni wakati wa kujiuzuru kupisha mtu mwingine ambae anaweza akashughulikia hizi hujuma za kukatika mara kwa mara umeme
[emoji819]Ni vigumu Viongozi wa kitanzania kuwajibika lakini kwa hili JANUARY MAKAMBA jiuzuru kulinda heshima yako
TUPO GIZANI