Taarifa zilizokamilika mnataka watu waache shughuli zao waje makao makuu na barua mkononi kuwaambia mtaani kwenu hakuna umeme?
Taarifa niliyowapa kuwa Mwanza umeme unasumbua haijakamilika mpaka niwafate mliko?
Mtoa mada alieleta hii mada ya Malalamiko taarifa zake hazijakamilika?
Hiyo barua ya kuomba radhi huko Magu kwa katizo LA umeme ni ushahidi tosha kuhusu hiki tunacholalamikia hapa.
Sasa sijui mnataka taarifa gani kamilifu zitakazowafanya mguswe na hii kero iliyojitokeza ghafla ambayo tulishaanza kuisahau.
Enewei, kwa vile hamna ushindani fanyeni mnavyotaka ingekuwa kama makampuni ya simu za mkononi mngetafuta nyie hizo taarifa za malalamiko ili mboreshe kazi zenu.
Sent from my TECNO L8 Lite using
JamiiForums mobile app