Tatizo la umeme kukatika; Waziri Makamba jipime kama unatosha au kung'atuka

ivi ww n tanesco kweli!! mi hamna sehemu umeme naenda hausumbui nimezunguka mikoa minne sasa[emoji28][emoji28]eti onesha mkoa gan tuambie mkoa wene umeme fulu 24/7 tuhamie
Sasa hivi huko Waswanu Dom umeme hakuna toka saa nne kasorobo asubuhi leo.
 
Yaani nawaza na hizo treni za umeme wanazokazana nazo si watu watakuja kulazwa porini? Hawako serious na suala la umeme. Nchi hii kuwa ya viwanda tuna miaka 50 mbele
 
Sijaona sehemu TANESCO mmemjibu huyu mteja.

Ndugu @TANESCO mnatuudhi na majibu yenu ya porojo za hapa na pale mnajibu as if hamuelewi kinachoendelea.

Acheni drama watu tuna kazi nyingi za kufanya na mnazidi kutia hasara.
Hawezi kunijibu kwa hofu kwamba naweza kumuanika. Ukweli ndio huo mgao upo na wao huko HQ ndio wanatoa maelekezo wakate baadhi ya maeneo kupunguza matumizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…