MSAGA SUMU
JF-Expert Member
- May 25, 2015
- 6,661
- 21,656
Wakati mwanasiasa Lucas Mwashamba akiridhika na hali ya upatikanaji wa umeme kwa sababu kazi yake ya uagent wa costa hauhitaji umeme[emoji23][emoji23][emoji23] Eeh kumbe...!!!Wakati mwanasiasa Lucas Mwashamba akiridhika na hali ya upatikanaji wa umeme kwa sababu kazi yake ya uagent wa costa hauhitaji umeme kijana mdogo Sam Junior anapoteza 170000 kila siku kutokana na kukatika umeme.
Kijana huyu anamwaga kuku 20 kila siku.
TRA wamemwambia kodi yao waikute mezani.
View attachment 2917072View attachment 2917074View attachment 2917076View attachment 2917077
Wewe ndio huna akili. Kwani huo umeme anaupata bure? Hiyo ni huduma anayolipia hayo mambo ya umeme kutokuwepo sio wajibu wake.Ukitaka kufanya biashara inabidi uwe na uwezo mpana wa kufikiri! Yaani unafanya biashara ya kutegemea umeme 💯 bila kuwa na mbadala umeme kama haupo utafanyaje???
Mafanikio katika biashara = akili + busara + nguvu za kiroho.
Sasa huyu mwamba kwenye kipengele cha akili = 0
Nitaiweka acha niichekiHalafu ana kuku wakubwa masikini, MSAGA SUMU ungeweka mawasiliano yake kumsaidia kusukuma biashara yake.
Sisi tusio wafanyabiashara hata tukinunua mmoja mmoja sio mbaya.