Tatizo la umeme na maji

Tatizo la umeme na maji

seneni

Member
Joined
Jul 28, 2023
Posts
5
Reaction score
4
Nakaa chini najiuliza kila Mara haya mambo mawili yatakwisha lini nchini mwetu?

Swala la umeme limekua sugu Sana huku Mwanza hazishiki siku mbili lazima mshinde masaa 12 Bila umeme na hii inachukuliwa kama sababu pia maji hayapatikani kabisa. Miaka 60 ya uhuru.

Hivi nikwanini huu umeme Kama unetushinda tusiruhusu makampuni shindani Kama simu tuwe na uwezo WA kuchagia?

Kunatatizo la ajila vijana wengi wamjiajili madharani saruni; wedding, etc ambazo zinatuingizia kipato Lakin sasa tumabki kua wa kukaaa tu Bila Kazi na ajira zimekua mtambuka Kwa mfumo wetu.

Ninacho kifikiria kwenye sekta ya umeme miaka 05 ya JPM umeme haukukatika now what is wrong? Kila kukicha wanakisingizio.

Maji; hata yalio kuepo hayapatikani now yanekwenda wapi?

Hapa kunahujuma kubwa Sana Naomba wanaohusika wajitafakari Maisha nimagumu waistuongezee Tena msongo wa mawazo kwa vitu ambavyo Sisi Kama wananchi wanalipwa ka Kodi zetu✍️ Naomba kuwasilisha

1000194939.png
 
Kwakweli imekua TOO MUCH aisee mbona haikua hivi hapo miaka ya nyuma...
 
Back
Top Bottom