Tanzania ya Rais samia ni Imara na Inaendelea kusonga mbele kwa kishindo kikubwa sana.imedhibiti mfumuko wa Bei na ndio maana unaona namna wakenya wanavyomiminika Tanzania kununua bidhaa mbalimbali zikiwepo nishati ya mafuta ,ambapo kwao zinapatikana kwa bei ya juu sana kuwahi kutokea katika Taifa hilo.Hii ndio maana Tanzania kuwa kimbilio la wanyonge wote kutoka ukanda huu wa Afrika mashariki.Tanzania inaendelea pia kuwalisha majirani zetu kama kenya kutokana na Tanzania kuzalisha chakula cha kutosha na kubakiwa na ziada ya kutosha.
CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi sana ijayo kutokana na ubora wa sera zake zinazogusa maisha ya watanzania.Tofauti na vyama kama CHADEMA ambavyo havina hata uwezo wa kuandaa ilani yake wala mgombea Urais,Safu ya uongozi dhaifu na iliyopoteza matumaini na muelekeo na kubakia na Usaka Tonge Tu kwa ajili ya matumbo yao.