Tatizo la Umeme ni kielelezo cha kushindwa kwa CCM

Tatizo la Umeme ni kielelezo cha kushindwa kwa CCM

Tangu IPTL, RICHIMOND, DOWANS, PAP, Gesi ya Mtwara na migawo yote unayoijua, lakini bado tatizo halijaisha

Huu ni ushaidi wa wazi wa kushindwa kwa ccm kuwasaidia Wananchi.

Nashauri iondolewe Madarakani

View attachment 2757552View attachment 2757555
Mvua itanyesha October to December, Mabwawa yatajaa Umeme utarudi kama Kawaida. Na hii dhiki tunayopitia ya mgao WA Umeme tutasahau.
 
Ubora wa ccm uko wapi?kwa kutesa wananchi?kenya peteroli bei ni ndogo kuliko Tanzania.
 
Muda utaongea, mambo ya serikali ndivyo yalivyo...
 
Back
Top Bottom