Tatizo la Umeme ni kielelezo cha kushindwa kwa CCM

Umasikini wa Tza ni matokeo ya kafara lililofanyika mapangoni likazaa mwenge.
Ni wachache sana wanaoweza vuka mstari wa limit ya life iliyosetiwa.
 
Kwahiyo tuwaache wateketee ?
Masikini wa namna hii walikuwepo tangu enzi na enzi! Hata kama nchi Masikini, maji ya kunawa miguu hatuna? Nusu kipande cha sabuni cha 200 anashindwa? Tuwe serious CHADEMA
 
Tanzania ya Rais samia ni Imara na Inaendelea kusonga mbele kwa kishindo kikubwa sana.imedhibiti mfumuko wa Bei na ndio maana unaona namna wakenya wanavyomiminika Tanzania kununua bidhaa mbalimbali zikiwepo nishati ya mafuta ,ambapo kwao zinapatikana kwa bei ya juu sana kuwahi kutokea katika Taifa hilo.Hii ndio maana Tanzania kuwa kimbilio la wanyonge wote kutoka ukanda huu wa Afrika mashariki.Tanzania inaendelea pia kuwalisha majirani zetu kama kenya kutokana na Tanzania kuzalisha chakula cha kutosha na kubakiwa na ziada ya kutosha.

CCM itaendelea kuongoza Taifa letu kwa miaka mingi sana ijayo kutokana na ubora wa sera zake zinazogusa maisha ya watanzania.Tofauti na vyama kama CHADEMA ambavyo havina hata uwezo wa kuandaa ilani yake wala mgombea Urais,Safu ya uongozi dhaifu na iliyopoteza matumaini na muelekeo na kubakia na Usaka Tonge Tu kwa ajili ya matumbo yao.
 
Wewe ni kichaa mambo yote yapo ovyo bado unasema Tanzania ni imara?

Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile app
 

Sera Bora ndio zimetufikisha hapa tulipo, nakubaliana na wewe upande wa upinzani kuwa na uwezo wa kukabidhiwa nchi Bado, lakini ni shida zaidi Kwa Chama tawala kucheza hichi kiwango, hapo ndio watu wanaona bora hata wengine wapya waingie watajifunzia mambo huko huko kuliko hawa wanaojiita wazoefu lakini mambo yanazidi kudidimia.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…