bongo dili
JF-Expert Member
- Feb 13, 2015
- 12,350
- 25,180
Kusitisha mbio za mwenge kwanza then mengine ufuataKwa hiyo ili kuvunja hilo kafara kitu gani kifanyike?
Sent from my Nokia 2.3 using JamiiForums mobile a
ππππππKama ni mashine, itakua na hitilafu nyingi sana.
Mvua itanyesha October to December, Mabwawa yatajaa Umeme utarudi kama Kawaida. Na hii dhiki tunayopitia ya mgao WA Umeme tutasahau.Tangu IPTL, RICHIMOND, DOWANS, PAP, Gesi ya Mtwara na migawo yote unayoijua, lakini bado tatizo halijaisha
Huu ni ushaidi wa wazi wa kushindwa kwa ccm kuwasaidia Wananchi.
Nashauri iondolewe Madarakani
View attachment 2757552View attachment 2757555
Kuna hoja mezani... Usijitoe akili!!Kwa hiyo hizo picha ndio umeme
ππππUbora wa ccm uko wapi?kwa kutesa wananchi?kenya peteroli bei ni ndogo kuliko Tanzania.