Tatizo la umeme Vingunguti Dar es Salaam, leo siku ya tatu umeme hakuna

Tatizo la umeme Vingunguti Dar es Salaam, leo siku ya tatu umeme hakuna

Hemedy Jr Junior

JF-Expert Member
Joined
Feb 17, 2023
Posts
915
Reaction score
1,082
Umeme unapokosekana tambua pia maji yanakosa, maana hawa jamaa DAWASCO na TANESCO baba mmoja.

Tunaomba mrejeshe umeme Vingunguti, mnakataje umeme siku 3 bila taarifa?

Mnatukosea sana.
 
Kulikua kuna marekebisho njia kuu iendayo gongo la mboto. Kubadili nguzo mfu, pia kusogeza nguzo pembeni kwa ajili ya zoezi endelevu la upanuzi wa barabara kwa ajili ya ujenzi wa mwendokasi
 
Kulikua kuna marekebisho njia kuu iendayo gongo la mboto. Kubadili nguzo mfu, pia kusogeza nguzo pembeni kwa ajili ya zoezi endelevu la upanuzi wa barabara kwa ajili ya ujenzi wa mwendokasi
Sawa mkuu umerejea tiyari🙏
 
CCM ni aibu kabisa, ikiwa mika 63 mpka leo Dar es Salaam tu umeme wa uhakika umewashinda nini wanaweza hawa?
 
Back
Top Bottom