Hemedy Jr Junior
JF-Expert Member
- Feb 17, 2023
- 915
- 1,082
Wamekusikia mkuu? Kwani ni vingunguti yote au ni hapo kwa Pelapela?Umeme unapokosena tambua pia maji yanakosa maana hawa jamaa dawasco na Tanesco baba mmoja.
TUNAOMBA MREJESHE UMEME VINGUNGUTI . MNAKATAJE UMEME SIKU 3 BILA TAARIFA.
MNATUKUSEA SANA....
KoteWamekusikia mkuu? Kwani ni vingunguti yote au ni hapo kwa Pelapela?
Sent using Jamii Forums mobile app
Sawa mkuu umerejea tiyari🙏Kulikua kuna marekebisho njia kuu iendayo gongo la mboto. Kubadili nguzo mfu, pia kusogeza nguzo pembeni kwa ajili ya zoezi endelevu la upanuzi wa barabara kwa ajili ya ujenzi wa mwendokasi
Ndugu mteja, ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto, tungependa kufahamu unapatikana eneo gani tafadhali? ^HSUmeme bado tatizo
Mstahiki Meya Jijini Dar es salaam, Mh. Kumbilamoto.Meya sindio Kata yake hiyo
Vingunguti butiamaNdugu mteja, ahsante kwa kuwasiliana nasi kupitia ukurasa huu na pole kwa changamoto, tungependa kufahamu unapatikana eneo gani tafadhali? ^HS
Home boy kabisaa,kwaJaile,Kweka,kiki,kayumbo nayulemzee traficVingunguti butiama
Tatizo la umeme bado ni kipengere vingungutiVingunguti butiama