Kwa bahati mbaya mimi huongelea kitu ninachokifahamu au nina experience nacho. Siwezi kuelezea nadharia. Kwa upande wangu JF ni sehemu ya kujifunza na kwa mbali kutoa uzoefu wangu. Si pahala pa kupunguza stress au kuburudika.Ikiwemo wewe
Sawa learnerKwa bahati mbaya mimi huongelea kitu ninachokifahamu au nina experience nacho. Siwezi kuelezea nadharia. Kwa upande wangu JF ni sehemu ya kujifunza na kwa mbali kutoa uzoefu wangu. Si pahala pa kupunguza stress au kuburudika.
Katika maisha yangu naamini mimi ni mjinga wa kwanza duniani, hivyo lazima kujifunza kutoka kwa mtoto aliyezaliwa leo mpaka wa miaka 130 (kama yupo); ambaye hakwenda shule mpaka PhD etc. A very good night
OhooooSawa learner
Huh!!!Ohoooo
Asante kwa comment. Nyaishozi College in Chuo cha CBET na katika CBET tunatoa mafunzo kwa vitendo (training).Hapa ndio umeshauri ?.
Kwa sasa, wenzetu wametengeneza system ambayo haisumbui kufunga ina Inverter na batteries humo humo! Unapachika tu Solar Panels basi unaendelea. Mfano hii hapaThis is the dream!
Hongera sana mkuu.
Vitu vyote hivyo vinapatikana hapa TZ locally au ilibidi uagize nje?
Unaweza kushare bei ya panel 1, inverter 1 na hilo battery?