Kwa bahati mbaya mimi huongelea kitu ninachokifahamu au nina experience nacho. Siwezi kuelezea nadharia. Kwa upande wangu JF ni sehemu ya kujifunza na kwa mbali kutoa uzoefu wangu. Si pahala pa kupunguza stress au kuburudika.Ikiwemo wewe
Katika maisha yangu naamini mimi ni mjinga wa kwanza duniani, hivyo lazima kujifunza kutoka kwa mtoto aliyezaliwa leo mpaka wa miaka 130 (kama yupo); ambaye hakwenda shule mpaka PhD etc. A very good night