Mdeke_Pileme
JF-Expert Member
- Aug 24, 2013
- 1,596
- 2,226
Hahahaha. ππππππmkuu mimi ni introvert nakuelewa vizuri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaha. ππππππmkuu mimi ni introvert nakuelewa vizuri sana.
MmmhAsante mtaalamu...Kuna watu ambao kialisi wanakuwa huvyo i.e. extroverts na Introverts...sijawa na uhakika kama nao tunawajumuisha kama ni tatizo sababu introverts wanaaminika kuwa wafanyakazi wazuri na wenye ubunifu mkubwa na huweza kufikiri vizuri zaidi na kufanya mambo kwa ubunifu mkubwa wawapo peke yao. Mfano wavumbuzi wote wakubwa waliogundua vitu vikubwa ni Introverts ambao walifanya kazi peke yao (Soma historia) wakina Steve Jobs, Bill gates...Binafsi mimi ni Introvert kwenda kwenye mjimuiko wa watu wengi kama harusi huwa vinanipa shida sana...Ila ubunifu katika ufanisi kazi umenifanya nipandishwe cheo mwe wa 10 mwaka huu.
Asante mtaalamu...Kuna watu ambao kialisi wanakuwa huvyo i.e. extroverts na Introverts...sijawa na uhakika kama nao tunawajumuisha kama ni tatizo sababu introverts wanaaminika kuwa wafanyakazi wazuri na wenye ubunifu mkubwa na huweza kufikiri vizuri zaidi na kufanya mambo kwa ubunifu mkubwa wawapo peke yao. Mfano wavumbuzi wote wakubwa waliogundua vitu vikubwa ni Introverts ambao walifanya kazi peke yao (Soma historia) wakina Steve Jobs, Bill gates...Binafsi mimi ni Introvert kwenda kwenye mjimuiko wa watu wengi kama harusi huwa vinanipa shida sana...Ila ubunifu katika ufanisi kazi umenifanya nipandishwe cheo mwe wa 10 mwaka huu.