Tatizo la Uoga wa kujumuika (Social Phobia)

Kuna kipindi huwa naogopa hata kucoment kwenye social media masuala yanayohusu nchi kwa kuhofia kupotezwa. Dawa yake jamani
 
Asante mtaalamu...Kuna watu ambao kialisi wanakuwa huvyo i.e. extroverts na Introverts...sijawa na uhakika kama nao tunawajumuisha kama ni tatizo sababu introverts wanaaminika kuwa wafanyakazi wazuri na wenye ubunifu mkubwa na huweza kufikiri vizuri zaidi na kufanya mambo kwa ubunifu mkubwa wawapo peke yao. Mfano wavumbuzi wote wakubwa waliogundua vitu vikubwa ni Introverts ambao walifanya kazi peke yao (Soma historia) wakina Steve Jobs, Bill gates...Binafsi mimi ni Introvert kwenda kwenye mjimuiko wa watu wengi kama harusi huwa vinanipa shida sana...Ila ubunifu katika ufanisi kazi umenifanya nipandishwe cheo mwe wa 10 mwaka huu.
 
Mmmh
 
Hii another case bro

Ni tatizo kwa baadhi ya watu,lakini kwa wengine sio tatizo bali ndivyo walivyo..!
Kwa mfano watu wa Aquarius wote wako hivyo,sometimes unaweza kudhani wanajisikia kumbe haiko hivyo...
Hauwezi kwenda kinyume na asili yako..!
 
Back
Top Bottom