Nunua shaving machine
utakayotumia peke yako ni bei rahis sana, pale game zipo hadi za sh.13,
000/= hapo hapo nakushauri kama upo dar nenda kariakoo tafuta dawa ya
asili inaitwa SHABU uwe unajipaka kwa muda ili kusafisha ngozi yako ya
kidevu, na kukausha hayo mapele
Nina tatizo la kutokwa na vipele pia but huja pale tu ninapotumia wembe, ila nikitumia mashine za umeme na only kupaka spirit sina shida kabisa, achana na wembe!
Thanx mtaalam! Ngoja niifanyie kazi nikikwama nitakuPM.
pride after shave the answer inauzwa 23000 tu hata mtu anamapele ya nyuma ya shingo ambayo yanatoa usaha inaondoa yote ukinunua me nilikuwa ya kidevu yote yameondolewa na situmii maji ya moto wala nini sa hvi npo soft itafute ukishindwa ni pm
Yaan hiyo aftershave ni shida kwelikweli, kila mtu ananishauri hiyo.
Let us try!
Nunua machine ya kunyolea kama ya salon.....