Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Tatizo la upele Kidevuni: Chanzo na matibabu yake

Nunua shaving machine
utakayotumia peke yako ni bei rahis sana, pale game zipo hadi za sh.13,
000/= hapo hapo nakushauri kama upo dar nenda kariakoo tafuta dawa ya
asili inaitwa SHABU uwe unajipaka kwa muda ili kusafisha ngozi yako ya
kidevu, na kukausha hayo mapele

Hivi hiyo dawa ipo na mikoani?
 
KAGAMEE jaribu kuulizia kwenye maduka ya dawa za asili au agiza mtu aliyepo dar akutumie


Sent from my iPad using JamiiForums
 
Last edited by a moderator:
Nunua mashine ya umeme ila wembe yani kila siku utalalamika m nimejitahd sna na wembe mwisho wa siku vipele kibao lakn kunakimashine cha Phillips nikitumia yan hamna mapele sema nyingi hazinyoi upara kabsa
 
Pitia maduka ya vinyozi,waulize wapi wanapata spirit zao then kanunue after ku shave paka hiyo pamoja inauma ndio inasaidia sanaaa na huwezi kupatwa na vipele tena hata kidogo,

Sent from my BlackBerry 9800 using JamiiForums
 
pride after shave the answer inauzwa 23000 tu hata mtu anamapele ya nyuma ya shingo ambayo yanatoa usaha inaondoa yote ukinunua me nilikuwa ya kidevu yote yameondolewa na situmii maji ya moto wala nini sa hvi npo soft itafute ukishindwa ni pm

hii unatumia kila baada ya kunyoa ama?
 
Kabisa hiyo ya aloe vera ni the best inaitwa gentleman pride after shave ni PM.
 
kuna hii dawa inaitwa pumb patrol inauzwa madukani inatoa vipele vyote vya ndevu kwa uhakika lakin sijafuatilia side effect yake
 
hakuna dawa zaidi yakujikanda kwa maji moto yenye chumvi kila cku asubuhi na jioni.
Mimi ilinisaidia sana
 
Mara nyingi nikinyoa ndevu kwa kutumia kiwembe au mashine( salon), natokwa na vipele naomba ushauri wana JF.
 
Nunua machine ya kunyolea kama ya salon.....mimi huwa natokwa sana na vipele nikitumia kiwembe chochote hata Gillette
 
Pole kwa kusumbuliwa na mapele,ila ukiweza unaweza tumia prodict moja hivi ni aftetshave inaitwa "gentleman pride""mapele yatakuwa historia.ol the best
 
Asilimia kubwa sana ya sisi watu weusi tuna ngozi sensitive sana hivyo ukiikwangua kwa wembe ata utumie after shave gani ni ngumu kuepuka vipele(shaving bumps)binafsi nimejaribu after shave nyingi sana lakini wapi !!navyofanya sasa ni kama alivyokushauri mchangiaji hapo juu,(Mtimti)tafuta shaving machine itasaidia sana japokuwa haiwezi kunyoa zote kama wembe unyoavyo.Kunyoa kwa wembe si tatizo tatizo linakuja pale zinapoanza kuota utapata maumivu na mapele juu.Wahindi wengi wananyoa kwa wembe na bila ata after shave lakini ni wachache sana wenye upele,vile vile kuna wenye ngozi nyeusi wasiosumbuliwa na 'shaving bumps'.
 
Back
Top Bottom